Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Hapo ndo ninapokupendea dada Shunie... hivi watu hawafahamu kwamba PM ni kama chumbani!! Sasa how come tena ya chumbani wayaleta varandani... shida sana pahala pakijaa tusichana na tuvulana!!!
Yaan kaka chige wanashangaza sana ndio mana wanaume wa hivyo tunawaita mapugi
 
Mwanamke unayejitambua unaanzaje kutuma nude picture kwa mwanaume uliyekutana naye mtandaoni? Tena Married woman. Acheni yawapate mnajitakia.
Hafu muwe mnaangalia na watu wa kuwasiliana nao.

Sorry
Kabisaaa
 
Jf weng wana magari,nyumba nzri,pesa mingi,wazuri wao eeeeeehn huk kutamu ukishaelewa unaenda vile unavyotaka

Sio wote wanajitambua katika akili wengne makubwa jinga kuwa makini
 
Back
Top Bottom