Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Unasaka mke wa pili mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]Ujumbe wangu umeusoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasaka mke wa pili mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]Ujumbe wangu umeusoma?
Heheh na mimi nitumie pm hizo picha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kaka chige wanashangaza sana ndio mana wanaume wa hivyo tunawaita mapugiHapo ndo ninapokupendea dada Shunie... hivi watu hawafahamu kwamba PM ni kama chumbani!! Sasa how come tena ya chumbani wayaleta varandani... shida sana pahala pakijaa tusichana na tuvulana!!!
Unataka kuzungumza nn na mm huko pmHapa sio pakuzungumza hayo masuala kuna wengine ni ya siri.
Nakazia hapo ray.
Ila mwanaume hawezi fanya hivyo,ukiona kafanya hivyo huyo anatabia za umama aka pugi.
Ulipata faida gani etiAroooo shunie usinitukane mwenzio nmezisambaza ili kuudhihirishia umma wa jf kwamba wewe ni mutoto muzuri beyond what they do think abt u.
Hahhahahhaha kaka angu mm chige
Hahahahahahaha nimeokokaaa
Shunie kwa mara ya kwanza leo nakuja pm yako ... Sijui niongee nini siasa ... Mpira ... Mapenzi ... Pesa ....Utakatifu umeanza lini mama
Anhaaaaaa, kaka binamu au ???Hahhahahhaha kaka angu mm chige
Poa poa mkuuSawa usijali.
Shunie kwa mara ya kwanza leo nakuja pm yako ... Sijui niongee nini siasa ... Mpira ... Mapenzi ... Pesa ....
Clubz ... .masomo .....neno la mungu ..chagua dada nakuja leo
HelA miradi okay nakuja na mamane ... Ukiona nipo kimya ujue ....Kama unakuja pm kwangu uongee mambo ya mahela tu
KabisaaaMwanamke unayejitambua unaanzaje kutuma nude picture kwa mwanaume uliyekutana naye mtandaoni? Tena Married woman. Acheni yawapate mnajitakia.
Hafu muwe mnaangalia na watu wa kuwasiliana nao.
Sorry
Kwanini hautaki?Akuu thtaki mie
Watu wengi wanakusifia kuwa we mzuri..hadi mapugi wanakuelewa sahiz 😀 😀 😀 😀Ulipata faida gani eti
Na mimi nakuja mie ndo mada zangu hasa hizo vipi unanikaribisha?Kama unakuja pm kwangu uongee mambo ya mahela tu