Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Kumbe mnarushiana machuchu mpk whtsap

Hatari sn hii
 
sanaaaaa jamani uwiiii yaani kuna watu humu acheni tu mnashare vitu vya maana hasa kama mwanaume mnashauriana na kama kuna mtonyo wa pesa anakushtua hakuna kuombana nyapu wala mitongozo ya kifala wanajielewa sasa wale wnzangu na mie mhhhhhh salam kuanzia asubuhi mpaka jioni kutwa kujitumisha mimeseji ya ovyo,kwanza siku hizi uzuri wake kuna ignore ukinsumbua na mimeseji yako naclick tu ukafie mbele
Jf kama dampo la Pugu vile kila kitu unakipta..
Nashukuru nimepata alot of brothers ambao naweza share nao kitu chochote
 
sanaaaaa jamani uwiiii yaani kuna watu humu acheni tu mnashare vitu vya maana hasa kama mwanaume mnashauriana na kama kuna mtonyo wa pesa anakushtua hakuna kuombana nyapu wala mitongozo ya kifala wanajielewa sasa wale wnzangu na mie mhhhhhh salam kuanzia asubuhi mpaka jioni kutwa kujitumisha mimeseji ya ovyo,kwanza siku hizi uzuri wake kuna ignore ukinsumbua na mimeseji yako naclick tu ukafie mbele
Yesss humu kuna mashetanii wengii pia kuna malaika wachache. Ukikutana na hao malaika hutajuta yanii. Nawaheshimu sana sana brothers wangu wote wa humu jf.
Nipo free kushare nao chochote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakufananisha na ray wakuache
Kaah![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angejuaaa
 
Hahahaa! Ila wallah tena, yaani hii ID ya Raynavero ni juzi tu hapa ndipo nikaja jua ni tofauti na yule mtoto wa watu!!
Unasemaje?[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka mimi hunjiui!!![emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji26] [emoji26]
 
Sijawahi sumbuliwa pm na sitegemei, na hakuna anayenijua humu
 
Unasemaje?[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka mimi hunjiui!!![emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji26] [emoji26]
n'takosa vp kukujua dadangu... hayo maneno usije kuyarudia hadi shangazi akayasikia!
 
Leo umeamka na mm eenh haya mambo yameanza lini ya kunisumbua sumbua nenda pm ya mzigua ipo wazi kamwandikie unachotaka kuniambia atanitumia screenshot
Nataka ya kwako leo naona kama mpesa yangu inataka ihamie kwako sijui ni bahati gani hii kuja kwako.
 
n'takosa vp kukujua dadangu... hayo maneno usije kuyarudia hadi shangazi akayasikia!
[emoji23] [emoji23] [emoji26] [emoji26] wanifananishaje sasa na ray chaklaaa!!
Nakushtaki kwa ankoo haki tena
 
Back
Top Bottom