Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha hamna mkuu nambye lkn hamutatizo lako wewe mama swaleh alikuvuruga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hamna mkuu nambye lkn hamutatizo lako wewe mama swaleh alikuvuruga sana
Yaani mpaka usikie nimejitia kitanzi ndo uamini kwamba nataka nije pm?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo umeamka na mm eenh haya mambo yameanza lini ya kunisumbua sumbua nenda pm ya mzigua ipo wazi kamwandikie unachotaka kuniambia atanitumia screenshotYaani mpaka usikie nimejitia kitanzi ndo uamini kwamba nataka nije pm?
Jf kama dampo la Pugu vile kila kitu unakipta..
Nashukuru nimepata alot of brothers ambao naweza share nao kitu chochote
Tena waendelee hivyo hivyo simara,saluti kwao,aaargh yaani mimi sipendi mijanaume mishamba mishamba jamani aaaaarghHuwa nacheka sana huko PM jinsi akili za watu zilivyo visoda.
Na wale mnaojitambua endeleeni hivyo hivyo.
Yesss humu kuna mashetanii wengii pia kuna malaika wachache. Ukikutana na hao malaika hutajuta yanii. Nawaheshimu sana sana brothers wangu wote wa humu jf.sanaaaaa jamani uwiiii yaani kuna watu humu acheni tu mnashare vitu vya maana hasa kama mwanaume mnashauriana na kama kuna mtonyo wa pesa anakushtua hakuna kuombana nyapu wala mitongozo ya kifala wanajielewa sasa wale wnzangu na mie mhhhhhh salam kuanzia asubuhi mpaka jioni kutwa kujitumisha mimeseji ya ovyo,kwanza siku hizi uzuri wake kuna ignore ukinsumbua na mimeseji yako naclick tu ukafie mbele
ooo plz my name is amu siyo HAMUHahaha hamna mkuu nambye lkn hamu
KumbeeHaswaaa dada Shunie, lakini dawa ya wafitinishi ni bora nimwambie kabisa huyu Malcom Lumumba kwamba wewe ni dadangu mpendwa, baba yangu na mama yako ni mtu na sista ake!!!
Unasemaje?[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka mimi hunjiui!!![emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji26] [emoji26]Hahahaa! Ila wallah tena, yaani hii ID ya Raynavero ni juzi tu hapa ndipo nikaja jua ni tofauti na yule mtoto wa watu!!
n'takosa vp kukujua dadangu... hayo maneno usije kuyarudia hadi shangazi akayasikia!Unasemaje?[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka mimi hunjiui!!![emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji26] [emoji26]
Nataka ya kwako leo naona kama mpesa yangu inataka ihamie kwako sijui ni bahati gani hii kuja kwako.Leo umeamka na mm eenh haya mambo yameanza lini ya kunisumbua sumbua nenda pm ya mzigua ipo wazi kamwandikie unachotaka kuniambia atanitumia screenshot
Hongera!Sijawahi sumbuliwa pm na sitegemei, na hakuna anayenijua humu
AhsanteHongera!