Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi ni kweli unayasave
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora nimeifunga tu maana vimtu vingine vinakuja ni vitoto,wengine kama hivyo mnaanza kuwasiliana baadae unajua ni mapugi ,wengine utani wanaugeuza ukweli lo, hao wanasambaza pic wala msiwajali kwani mmeua ,jf siogopi mtu yeyote najiamini nilivyo anaeona mi wa ajabu yupo anaeniona wa maana na ni mzuri kwake , maana kuna watu wabaya kuzidi hata mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kingine nishapata mpenzi anaenipenda nampenda wala sihitaji pm
Eti wabaya kukuzidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hanaga cha kukosewa huyo akiamua tu anakupa matusi naona anajisikia raha tu kukutukana tena hiyo siku alinitukana mm na sakayo
Mungu amsamehe bureee!!!huyu kaka anakua kama pugiii!!
 
Thnx my bro kana be blessed Mimi nashukuru toka niingie jf sijawahi kukumbana na kadhia kama hizo Niko makini mnoo!!

I do value my value!I so scared of my reputation coz I know once it tarnish it won't be cleared easily!!

Mimi naomba Mungu anilinde sana kuna watu siwajibu kabisaa PM kwa sababu naogopa mnooo Mimi ni kwanza ni mtoto nimezaliwa,mama,Dada,Wifi,shemeji,mwalimu,jirani,rafiki wa watu na mwanajf naogopa sanaa mtu kunidhalilisha naogopa mtu!

Nawaeshimu wote wanaoniheshimu

Nimetafakali sana baada ya kuona hujibu PM zangu, sijui na mimi nipo kundi hilo!!!!

Nambie tu ukweli nijue mapema
 
Bora nimeifunga tu maana vimtu vingine vinakuja ni vitoto,wengine kama hivyo mnaanza kuwasiliana baadae unajua ni mapugi ,wengine utani wanaugeuza ukweli lo, hao wanasambaza pic wala msiwajali kwani mmeua ,jf siogopi mtu yeyote najiamini nilivyo anaeona mi wa ajabu yupo anaeniona wa maana na ni mzuri kwake , maana kuna watu wabaya kuzidi hata mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kingine nishapata mpenzi anaenipenda nampenda wala sihitaji pm

Zile picha zako nilisave pia
 
Back
Top Bottom