theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kumbe mwajuana eeh maana naona sio mara ya kwanza anakulilia [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ananizingua huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mwajuana eeh maana naona sio mara ya kwanza anakulilia [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ananizingua huyo
Hao mabwana pepsi ni wa nchi gani? Ona wanavyotuwekea blocks[emoji84]
Hawa wachaga wangu wote walevi, nitafanyaje na ndio washaniteka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo sio kama Mo eenh ila napendaga avatar yake
Hawa wachaga wangu wote walevi, nitafanyaje na ndio washaniteka.
Mo akili zake anazijua mwenyewe.
Tunajuana huko kunililia kwake wakati hamwagi seraKumbe mwajuana eeh maana naona sio mara ya kwanza anakulilia [emoji2][emoji2]
Ohooo, ananijuaaUkinipasua mchumba angu atanitetea [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohooo, ananijuaa
Kwema tuHiki kicheko kwema ndugu
Hahahaha nipo mama wa dunia.. [emoji95][emoji111][emoji111][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi upo?? Nasubiri upate hela unipeleke kwenye JD
Hahah mfungulie PM aweke madiniTunajuana huko kunililia kwake wakati hamwagi sera
Pm yangu iko wazi mbona tatizo hajiHahah mfungulie PM aweke madini
Mama wa dunia hiyo vipi we kakaHahahaha nipo mama wa dunia.. [emoji95][emoji111][emoji111]
Sio kweli [emoji20][emoji20]Pm yangu iko wazi mbona tatizo haji
Kwema tu binafsi nishaonans na wanaJf watatu tu ila # nikampa mmoja tu niliyeweza kumwamini maana humu Jf huwa sio mtu wa "makundi"
Ukiona mtu anachst sana kimakundi huyo sio wa kumzoea sababu ukimpa picha au # yako ni sawa ni kulipa kindi zima la ng'ombe ni lazimz awafikishie na wenzake mwidho wa siku inajikuta umefahamika kwa wsnaJf 100