Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Pugiiiiiiiii haki ya nani hili neno uliyelianzisha Mungu anakuona maana kuna mwehu mmoja kalibandika kwenye ulimi hivyo kila anachoongea ni neno hili tu
Pugiiiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiki kicheko kwema ndugu
Kwema tu

Binafsi nishaonana na wanaJf watatu tu ila # nikampa mmoja tu niliyeweza kumwamini maana humu Jf huwa sio mtu wa "makundi"

Ukiona mtu anachat sana kimakundi huyo sio wa kumzoea sababu ukimpa picha au # yako ni sawa na kulipa kundi zima la ng'ombe maana ni lazima awafikishie na wenzake mwisho wa siku inajikuta umefahamika kwa wsnaJf 100
 
Poleni jamani kwa masahibu hayo sema ndo hivyo tena mmesahau kuwa kuna watu na viatu wengine majina yetu yanaonekana ya kihuni hivyo tukija PM tunakaushiwa ila kuna wengine majina yao yana mvuto kuyasoma sasa wakija Pm fasta wanapata ushirikiano kumbe hao wengine ndo washenzi mfano hakuna na sie wenye majina ya kina Masudi sura mbaya kumbe ndio Waungwana na wastaarabu wa kiwango cha SGR.
Anyway fungueni tu PM jamani haya mengine ya kupita tu maana unaweza kupishana na gari ya mshahara bure.
 
Hili kweli kabisa Bitoz ulichoongea ndio hivyo mtu unajifunza kutokana na makosa
Kwema tu binafsi nishaonans na wanaJf watatu tu ila # nikampa mmoja tu niliyeweza kumwamini maana humu Jf huwa sio mtu wa "makundi"

Ukiona mtu anachst sana kimakundi huyo sio wa kumzoea sababu ukimpa picha au # yako ni sawa ni kulipa kindi zima la ng'ombe ni lazimz awafikishie na wenzake mwidho wa siku inajikuta umefahamika kwa wsnaJf 100
 
Back
Top Bottom