Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot.
anajifanya anapenda interaction ila trust sio interaction ya ukweli anatafuta umbea
Mrembo usiye chuja,Mwenye uzuri Wa asili,mwanamke classic unaweza mla na ugali kama mboga,usiye na mawaa katulia katulizana,Mwenye utamuu wake special mithiri ya vanila, usiyechosha macho kutazamwa,nakusalimu Evelyn Salt:
 
Mmh mzee baba hizi sifa hizi usitake mzee wa mbuzi anitoe kule kwa gallery yake mie na kichwa changu kama nyanya chungu, ahsante kwa salamu sijambo.
 
Back
Top Bottom