Laiguanan
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 115
- 184
[emoji106]Hapana, sijasema hivyo mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Hapana, sijasema hivyo mkuu!
Khaaa... kumbe mnanisema kijanjajanja....
*****
ameenda nazo huku anazihesabu asiruke hata moja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
Best, sio wewe kweli?[emoji12]naona mambo ni malesh humu ndani
Shoga mi nasoma tu hapa. Ulifichwa wapi??Habari za miaka?
Hivi hata wewe shogaangu unanificha kweli!??
Nilifumaniwa best nikarudishwa kijijiniShoga mi nasoma tu hapa. Ulifichwa wapi??
Mrembo usiye chuja,Mwenye uzuri Wa asili,mwanamke classic unaweza mla na ugali kama mboga,usiye na mawaa katulia katulizana,Mwenye utamuu wake special mithiri ya vanila, usiyechosha macho kutazamwa,nakusalimu Evelyn Salt:Huyo huyo jukwaani anaact wise man ila sio wise yani hata ukimtxt mambo, ujue hiyo salamu itaonwa na watu wengi screenshot.
anajifanya anapenda interaction ila trust sio interaction ya ukweli anatafuta umbea
Najua. Wangesema mlevi wa pombe na wanawake sawa ila tabia hizo huna[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] haiwezekani miaka milion mia wew mwenyewe unajua
Pole shogaa. Uache kudanga sasaNilifumaniwa best nikarudishwa kijijini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ameenda nazo huku anazihesabu asiruke hata moja.
maana unaweza kuwa umetajwa wewe page ya nyuma ya mbele ukawa unajichekelesha tu.
Weeee acha tu mpaka siku nianikwe humu jfPole shogaa. Uache kudanga sasa
ameenda nazo huku anazihesabu asiruke hata moja.
maana unaweza kuwa umetajwa wewe page ya nyuma ya mbele ukawa unajichekelesha tu.
Mmh mzee baba hizi sifa hizi usitake mzee wa mbuzi anitoe kule kwa gallery yake mie na kichwa changu kama nyanya chungu, ahsante kwa salamu sijambo.Mrembo usiye chuja,Mwenye uzuri Wa asili,mwanamke classic unaweza mla na ugali kama mboga,usiye na mawaa katulia katulizana,Mwenye utamuu wake special mithiri ya vanila, usiyechosha macho kutazamwa,nakusalimu Evelyn Salt:
pamoja mkuu... Wanawake sio watu wazuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mamaeee
CheeeNajua. Wangesema mlevi wa pombe na wanawake sawa ila tabia hizo huna
Ewaaaa huko sasa ndio uwanja wa nyumban..hahaha hapo kwa wanawake duta bae1 si unajua wife Jolie Jolie yupo humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua. Wangesema mlevi wa pombe na wanawake sawa ila tabia hizo huna
Hawafai hawa!pamoja mkuu... Wanawake sio watu wazuri.