Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

SIJUI KWANN!!
but sijawahi kuona pm ni tatizo.
ever since!!
I think Aina ya watu nawaandikia au naandikiwa!!
Ninakaribia muongo humu!!
Sijawahi kuwa offended pm!!
NA sitegemei TU.
 
Back
Top Bottom