Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Crush wa zaman na mimi nikusalimie hapa hapa....uko poa?Mmh mzee baba hizi sifa hizi usitake mzee wa mbuzi anitoe kule kwa gallery yake mie na kichwa changu kama nyanya chungu, ahsante kwa salamu sijambo.