FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
Wachafu na wavivu wa kuoga utawajua tuuMwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
NichekiKwani kuoga dk 1 dhambi? Mi naweza chukua hata lisaa
SureNicheki
Hivi kwani mnaoga! ili iweje yaani. Kama ni usafi mbona taulo inachafuka.Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
Wachafu sana nyinyi!!Kama sisi wakina Slim dk 5 nyingi sana labda uwe mwanachama wa chama cha wale hewa
Unampimia mtu dakika za kuoga kwani unamlipia bill ya maji?Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
Taulo linachafuka kama unaoga dakika 5!! Kama ukioga vizuri, hata likichafuka ni baada ya muda mrefu! Mijitu isiyojisugua vizuri ndiyo inachafua taulo! Maana wakati wa kujifuta/kujikausha ule uchafu ambao haukusuguliwa vizuri na kutoka ndiyo unachafua taulo!Hivi kwani mnaoga! ili iweje yaani. Kama ni usafi mbona taulo inachafuka.