Weee kumbe na mimi ni miss?
Hapana soon utakuwa my Mrs
Am watching you![emoji78] [emoji78] [emoji78]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Keep watchingAm watching you!
Kule wapi sasa!!Sijaona kitu hapo.
Labda kama mlikuwa mnatuzuga jukwaani ila kule mnafanya ya maana.
Asee nimeamini mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenyeweHapana, utakula mwenyewe.
Acha kuniqoute dogo yaani nikiona napata hasira kinyamaPoa kaka mkubwa
Mwambie anikabidhi password za benki zote. Huo moyo wake akae nao tu sina pa kuuweka.Hahah
Tahadhari ni nzuri maana naona anaspeed hatari.
Nimeshaacha mazoea nayeMie hanitumiagi pesa bazazi huyu. Alafu si nilishakukataza mazoea nae!!! Benny yuko wapi?
Just close your eyesAm watching you!
Kaa mbali na binti yangu[emoji57] [emoji57]Acha rooho mbaya utazeeka nayo shaur yako utusumbue uzeen
Usiniambie ushajiroga!!Asee nimeamini mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenyewe
Ha ha ha mwambie na yeye akae mbali na matunzo yanguKaa mbali na binti yangu[emoji57] [emoji57]
Ndiyo nilikuwa kwenye mchakato naona Daby analeta vikwazo ngoja nisitishe zoeziKwani umenitongoza? Mbona sijaona tongozo!!!!
ahahahahahahahah umenivunja mbavuHalafu mademu hapa wana mvuto kama magnet na hapo hujamuona live ukimuona sijui inakuaje?
Bora ningejiroga mkuu, watu wanaona nitafaidi saana yaaniUsiniambie ushajiroga!!
I cant, huyo fisi mla watu sio wa kumfumbia macho.Just close your eyes