Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Sema hao wachache unaokutana nao ukisema wanaume una tu include na sisi tusiohusika
 
Yan mkuu umeongea jambo nililotaka kulisema kabisa naamini kabisa humu unaweza ukafahamiana na mtu na mkawa marafiki wazuri na kuwa kama ndugu kabisa na si kila mtu humu ni tapeli kama inavyoonekana mimi pia siamini katika kutafuta mahusiano humu ila naamini marafiki wa kweli wanapatikana humu pia
 
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Kutana na mimi hutojutiaaa
 
Ngoja niendelee na maombi huenda nami nikapata fursa ya kukuona cku moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
 
Humu nishakutana na wadada watatu wa jf wala sikujutia wapo verry humble aisee na wala sijawahi fake life langu mie ni tz11 na nina kubali mapungufu yangu.
Pia nishakutana na wana wa jf japo wengine wana usafiri wao tena sio vitz ni zile zenyewe lakini ni wako poa sanaaa.idumu jf
 
Ndio nimeanza kulima mpunga,nisikilizie mwakani nikivuna tu,nanunua na kagari,halafu nitakutafuta DaJane tuyajenge
 
Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Hahahahah
Ushamjua eeee.
Yaani anapiga picha ofisini afu anakutumia.
Hahahaha, milioni na laki 9 masikhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…