cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaaaa wenye nazo huwa hawajisemi
Ninazoooo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazoooo.
Kazi zote muhimuDuh kazi zipi sasa hzo???Kujishughulisha au
Yan mkuu umeongea jambo nililotaka kulisema kabisa naamini kabisa humu unaweza ukafahamiana na mtu na mkawa marafiki wazuri na kuwa kama ndugu kabisa na si kila mtu humu ni tapeli kama inavyoonekana mimi pia siamini katika kutafuta mahusiano humu ila naamini marafiki wa kweli wanapatikana humu piaKwanza kwa niaba ya wanaume wa JF tunashukuru kwa kuyaeleza haya yote!
Pili utuombe radhi kwa kutujumuisha na hao matapeli ulokutana nao
Tatu sio kila alieko JF anatafuta mahusiano ya kimapenzi na kingono awe me au ke
Mwisho mtu ametumia fake Id unawezaje kukurupuka na kuamini kila anachokuambia kuhusu yeye? Hapo wote mna matatizo yeye na ww pia!
Mahusiano ya kukutana mitandaoni sio ya kuamini sana but pia kuna watu wamekutana humu humu JF na wako vizuri mpka leo
Kutana na mimi hutojutiaaaHafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Hahaha haya banaKazi zote muhimu
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Dooh!!hongera zake kwa kumiliki mremboWala huyu mpenzi wangu.
Yupo Jf.
Yeah my babe...nampenda sana yeye
OkayHahaha haya bana
Kutana na mimi hutojutiaaa
We acha tuWeee madame😄😄😄
Mie nilikunywa ila nusu nitapike.Ahahaaa hivi madam c ile ya kunywa mkojo ndo ikoje.nataka nimywee MTU mkojo
HahahahahHuyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Kuna wanaume watatu humu nawajua....yaani ni wambea balaa.Wanaume ni vinara kwa umbeya had unashangaa walikosea jinsia, sijui mambo ya watu yanawahusu nini, girlfriend wake au mke atapata tabu sana
ulitaka nisema sina wakati ninazo.Hahaaaaa wenye nazo huwa hawajisemi
🤣🤣🤣Huu mpambano bado una endelea.Kuna wanaume watatu humu nawajua....yaani ni wambea balaa.
Dear, yaani ni wambea sana, afu kwa kujifanya watakatifu...mfyuuuu zao