Hahaha....aicee!!Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahhahahah.....huenda

Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Mimi napenda ukweli sio blah blah mtaani tu nawakataa wanaume wa heshima sembuse huku jf na fake I'd. Mi napenda mkweli wala. Usiombe ukutane na mwanaume mwenye I'd ka tano zote anakutongoza hafu Kuna mahali anajichaganya
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Ma weekend siunajuaWord Si kwa kukaa macho kiasi hicho. Duuh.
Ila semeni yote Mimi nataka mume humu kabla ya tar 31 dec. Ila uwe unaishi dar .hata kama huna gari poa tu najua hutakosa hela ya Uber gari tutanunua tu soon
Ahahaaahaya yote kwa sababu tunajua wanawake wa sikuhizi wanapenda mwananume mwenye kila kitu ndio maana nasisi tunajikweza sasa tatizo linakuja pale unapojikweza sana mpaka unashindwa kuzicover hizo sifa ulizojipa pale mnapokutana. Na nyie wanawake mpunguze matarijio yenu, unakutana na mtu anakwambia ana miaka may be 30 kila siku unamuona humu JF kwenye kila jukwaa anabishana na watu halafu anakwambia nina makampuni 3 na majumba kadhaa unakubali kirahisi tu, kwa maisha yetu haya mtu mpaka anafikia miaka 25-27 bado anatafuta degree tu unadhani yote hayo atayapatia wapi ndani ya muda mfupi huo kama sio kamba tu
Ooh. Hapo sawa.Ma weekend siunajua
Karibu tena.. Naona uko sambamba na huu UziOoh. Hapo sawa.
mngekuwa na huruma nasisi haya yasingekuwepo ila sikuhizi lazima tutie kamba kidogo ili mueleweAhahaaa
Ahsante. Nilipoingia asubuhi nilikuta notifications hivyo ikabidi nirudi tena. πππKaribu tena.. Naona uko sambamba na huu Uzi
Wengi tu kumbe notification zinaturudisha..Ahsante. Nilipoingia asubuhi nilikuta notifications hivyo ikabidi nirudi tena. [emoji85][emoji85][emoji85]
Umeonaee. Haya siku njema. πWengi tu kumbe notification zinaturudisha..
Dada kwenye thread za mlengo huu huwa unafunguka ya moyoni kweli kweli... inaonesha umepitia mengi humu JFHumu kapuku mimi tu JF the rest ni mabilionea
Kwako pia shadeeUmeonaee. Haya siku njema. [emoji120]