Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Sijawahi kuona sababu ya kumwambia mtu ukweli. Hususani na hizi fake id.

Siku zote namwambia mtu kitu kile anachotaka kusikia.

Mtoa mada unapata hedek kabisaa et kisa mtu anakudanganya et ana gari ?? Ana kampuni kadhaa? Mtu wa jf. Mtu mwenye fake id.

Nawewe unapoteza muda kabisaa kufutilia huyu ana hichi huyu ana hichi. Really??
 
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.

Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.

Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Hahaha....aicee!!
 
We unakidhi vigezo vya mwanaume kutumia 1.9M kwako?
Pengine ungejiuliza na hilo swali, usije mlaumu bure mwezio
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.

Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.

Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hivi pm unazifutaje kwenye browser,nahisi kuonwa kwa chat zangu za pm .
 
Mkuu,
Mi mbina sio handsome?

Usituweke wote kwenye kundi moja
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
 
haya yote kwa sababu tunajua wanawake wa sikuhizi wanapenda mwananume mwenye kila kitu ndio maana nasisi tunajikweza sasa tatizo linakuja pale unapojikweza sana mpaka unashindwa kuzicover hizo sifa ulizojipa pale mnapokutana. Na nyie wanawake mpunguze matarijio yenu, unakutana na mtu anakwambia ana miaka may be 30 kila siku unamuona humu JF kwenye kila jukwaa anabishana na watu halafu anakwambia nina makampuni 3 na majumba kadhaa unakubali kirahisi tu, kwa maisha yetu haya mtu mpaka anafikia miaka 25-27 bado anatafuta degree tu unadhani yote hayo atayapatia wapi ndani ya muda mfupi huo kama sio kamba tu
 
Hiyo PM yako ina mambo si kitoto
Mimi napenda ukweli sio blah blah mtaani tu nawakataa wanaume wa heshima sembuse huku jf na fake I'd. Mi napenda mkweli wala. Usiombe ukutane na mwanaume mwenye I'd ka tano zote anakutongoza hafu Kuna mahali anajichaganya

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
haya yote kwa sababu tunajua wanawake wa sikuhizi wanapenda mwananume mwenye kila kitu ndio maana nasisi tunajikweza sasa tatizo linakuja pale unapojikweza sana mpaka unashindwa kuzicover hizo sifa ulizojipa pale mnapokutana. Na nyie wanawake mpunguze matarijio yenu, unakutana na mtu anakwambia ana miaka may be 30 kila siku unamuona humu JF kwenye kila jukwaa anabishana na watu halafu anakwambia nina makampuni 3 na majumba kadhaa unakubali kirahisi tu, kwa maisha yetu haya mtu mpaka anafikia miaka 25-27 bado anatafuta degree tu unadhani yote hayo atayapatia wapi ndani ya muda mfupi huo kama sio kamba tu
Ahahaaa
 
Back
Top Bottom