harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Umenisahau na Mimi...Humu kapuku mimi tu JF the rest ni mabilionea
Umenisahau na Mimi...
Umenisahau na Mimi...
Nimesikia humu wote mabilioneaNna mbuzi wawili wa maziwa na wheelchair, why you ask kama nnagari au tren [emoji3]
Dada kwenye thread za mlengo huu huwa unafunguka ya moyoni kweli kweli... inaonesha umepitia mengi humu JF
Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!
Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.
Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.
Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.
Hiyo PM yako ina mambo si kitoto
Mkuu,
Mi mbina sio handsome?
Usituweke wote kwenye kundi moja
Kila LA kheri ulete mrejeshoNgoja nifanye mpango nikutane na mwana Jf mmoja huku nione kama unayosema ni kweli.
Mimi natumia Facebook, instagram sijawahigi kukutana na ushamba ka wa humu JF. JF Kuna wambeya wazalilishaji wapiga majungu kah. Kuna utoto mwingi sasa we are using fake id's lakini watu wafatilia wengineDuuh naona mnatusema wa chuga aseeh.
Mbona hatuna hizo pan'gan'ga.
Honestly speaking.
JF tunawashamba wengi saana kwa wanawake na wanaume pia (huenda nami nipo).
Na kuna watu humu naamini tukiamua kuwa real kukemea kila ushamba wa humu tutachukiwa saana ilihaki tunajipumzisha huku kijiweni.
Ngiri mzuri wewe,Hahaaaaa kwahyo sura ngumu ka ngiri eeeh
Ulikuwa utani tu...Kwa kauli yako ile ni kweli njemba zikijua mtaa unakoishi si ajabu zikaanza kujipitisha pitisha huko aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngiri mzuri wewe,
Nafikiri mi ndo kiwango cha mwisho,
Wenye sura mbaya duniani hufananishwa na mm
Kwani huwasikii wenzio wakisema kila siku kwamba mwanaume wa maana huwezi kumkuta chitchat au MMU, kwanza hana muda wa kushinda mitandaoni kama Sisi..Nimesikia humu wote mabilionea
Tukisema ukweli hamuamini,Ila wachagga wengi huwa ni mahandsome wewe muongo. Hakunaga mchaga mubaya
Ama nini mwanetu, watoto wanatuchukulia kipompipompi tatizo! Mikazo kama kawaida yani, kama ishu ni kabobo ziko za ela otee arif! Ila mwisho wa siku kila mtu apate anachostahili sio kuleteana mizinguzi! Mtu akielewa kali apasuke tu ma PM , mna meet site mnayajenga kiroho sayona! Mbona flengwa tu babaake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sista duu apeleke zari kwa mentali
Kwa avatar hio natamani nikuoneKila LA kheri ulete mrejesho
Usipende kutumia maneno hayo,Mimi natumia Facebook, instagram sijawahigi kukutana na ushamba ka wa humu JF. JF Kuna wambeya wazalilishaji wapiga majungu kah. Kuna utoto mwingi sasa we are using fake id's lakini watu wafatilia wengine