Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!

Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.

Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.

Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.
 
Hahaaaaa hamna jf nimekutana na mtu mmoja tu na tunaheshimiana mno yani. Nafunguka Kuna washenzi walinikera sana humu JF na uongo mwingi ni huko PM so it's boring mno. So kukutana na wa JF sipendi kabisa zaidi ya majungu kingine kipi.
Dada kwenye thread za mlengo huu huwa unafunguka ya moyoni kweli kweli... inaonesha umepitia mengi humu JF
 
Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!

Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.

Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.

Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sista duu apeleke zari kwa mentali
 
Duuh naona mnatusema wa chuga aseeh.

Mbona hatuna hizo pan'gan'ga.

Honestly speaking.

JF tunawashamba wengi saana kwa wanawake na wanaume pia (huenda nami nipo).

Na kuna watu humu naamini tukiamua kuwa real kukemea kila ushamba wa humu tutachukiwa saana ilihaki tunajipumzisha huku kijiweni.
Mimi natumia Facebook, instagram sijawahigi kukutana na ushamba ka wa humu JF. JF Kuna wambeya wazalilishaji wapiga majungu kah. Kuna utoto mwingi sasa we are using fake id's lakini watu wafatilia wengine
 
Hahaaaaa hata wajipitishe wanapoteza mda wao jamani kutafta mwanaume jf ni kufilisika, labda nifikie menopause nikiwa single
Ulikuwa utani tu...Kwa kauli yako ile ni kweli njemba zikijua mtaa unakoishi si ajabu zikaanza kujipitisha pitisha huko aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sista duu apeleke zari kwa mentali
Ama nini mwanetu, watoto wanatuchukulia kipompipompi tatizo! Mikazo kama kawaida yani, kama ishu ni kabobo ziko za ela otee arif! Ila mwisho wa siku kila mtu apate anachostahili sio kuleteana mizinguzi! Mtu akielewa kali apasuke tu ma PM , mna meet site mnayajenga kiroho sayona! Mbona flengwa tu babaake!
 
Back
Top Bottom