Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Nakuwa na mawazo hayo maana sehemu hzo zinakuwa na watu timamu wanajua mengi na tunaweza share mambo ya msingi. Mimi naweza toa mawazo yakawa fursa pia hao wanakuwa wazoefu kuliko mimi. So kila mtu ni fursa unayo unahtaji tu watu wa ku sharpen ur idea basi.
Kwanza mimi huwa sipendi mazoea na watu tuonalingana akili, napenda kujifunza kwa walio nizidi
Lakini kwanini unakuwa na mawazo ya hivyo?

Kwamba lazima uende sehemu fulani watu wakupe fursa?

Kwanini wewe usiwe ndiye mtoa fursa.

Natamani kujua hili kwa undani.
 
Sasa utakuwa umekutana nawangapi mama adi sahizi
 
Nani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweli
Tunaangalia avatar kisha tunajiongeza
 
Nani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweli
Wenyewe hutujengea imagination nakutuona sie ma Beyonce. Na wao ndo hujifanya wanazo wakiwa wanatongoza
 

Kila mtu ni fursa kwako...bila kujali yupo vipi... Kikubwa kuheshimiana.


Sitaki kuingilia lengo la kila mtu kuwa humu JF. Ila ujue wapo

-Wanaotafuta mabwana
-Wwnaotafuta free p
-Wanaojiuza
-kufurahia
-kujifunza

Ukishajua haya hauna haja ya kulalamika. Ukiona mtu kaja pm anajisifia tofauti na uhalisia unajua huyu Free p au kinyume chake ambacho ni kujiuza.

Na ukipitia maandishi ya mtu unajua tu huyu lengo lake JF ni nini.

Asalaam.
 
Mimi napenda kujifunza so maoni yangu usiyaite malalamiko. I'm free to write anything I wish naninachokiamini so haihusikani na ulalamishi ni ukweli wa mambo huo.

Hafu hyo fursa umeichukulia ka ngono vile, to me sex ni minor issue mimi nasemelea mambo muhimu ya kimaisha sex ni tendo fupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…