Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweliKinyume chake nikweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweliKinyume chake nikweli!!
Jumapili yangu imekuwa nzuri ila mimi mchovu sina gari,sina nyumba,sina kazi wala sio Hb...utanivumiliaUsijali mwaya we shall meet soon
Pamoja mkuu.Nakupata vyema mzee baba.
Lakini kwanini unakuwa na mawazo ya hivyo?
Kwamba lazima uende sehemu fulani watu wakupe fursa?
Kwanini wewe usiwe ndiye mtoa fursa.
Natamani kujua hili kwa undani.
Sasa utakuwa umekutana nawangapi mama adi sahiziSisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu....
Wote wana pesa,
Wote wana magari,
Wote wana elimu kuanzia degree,
Wote wamejenga,
Wote wanajua kuvaa,
Wote wazuri....
Ila sasa mie nashindwa kuelewa, kwanini ukikutana na baadhi yao wengi hawako kama wanavyojishaua humu Jf?
1. Anasema ana pesa, ila ukikutana nae ni unga unga mwana mpaka utashangaa ila akiwa jukwani sasa Mengi atasubiri.
Mjue mnajishushia CV
2. Mada za kuchangia zinazohusu magari, naye yumo tena atataja mpaka aina ya gari analomiliki, ila nje ya keyboard ukikutana nae atakutembeza na bodaboda mpaka makalio yaote sugu...alivyo ni tofauti na mmiliki wa hata baiskeli ya guta.
Mjue mnajishushia CV.
3. Kwenye jukwaa la elimu kila mada inayohusu wenye elimu za juu utamkuta akichangia huku akijitapa yeye ni msomi wa degree au masters ila nje ya keyboard sasa, anamiliki certificate of uzushi na uwongo from Kamgambile college.
Mjue mnajishushia CV.
4. Kuna mdau humu nilikuwa napenda sana post zake kuhusu assets anazomiliki yakiwemo makampuni 2 na nyumba 1 pamoja na kijiusafiri.
Siku nakutana nae sikuamini kama ndio yeye, jamaa anaishi chumba ambacho mie kwetu naweza kufugia sungura wawili tu.
Yule jamaa mpaka leo kani-ignore sijui nilimkosea wapi.
Mjue mnajishushia CV.
5. Kuna mmoja nilienda kukutana nae La Chaaz Sinza.
Jamaa nilikutana nae jukwaa la Mitindo na utanashati akijitanaibu kuwa yeye ndie mwanaume smart Jf nzima.
Siku naonana nae sikuamini macho yangu.
Kwanza juu kapiga singlend ya kukata mikono, ana kigimbi sio cha nchi hii.
Nywele za kwapa zimekuwa za brown, jasho sasa kama tuko ndani ya mgodi.
Chini kavaa kipensi cha jeans kimekaa kama kipedo, mguuni ana zile ndala nyeupe zinazouzwa Kariakoo.
Nilivyofika pale nikafungua jukwaa la mitindo nikawa nasoma comment zake huku namuangalia kiupande ili ni-compare nae.
Wanaume acheni kujikweza.
Mjue mnajishushia CV.
6. Kwenye uzuri ndo sisemi.
Aliyekwambia kuvaa miwani ndio uzuri nani?
Sema sura yako ilivyo ili nijue nadili na mtu wa aina gani nilikutana nawe.
Mtu anajisifu handsome wakati anasura ya kumtishia mtoto wakati wa kula na wakati wa kulala.
Mjue mnajishushia CV.
Mbona huku Jf kuna wanaume wako real tu jamani!!!
Humu Jf kuna wanaume ambao akisemacho humu ndicho hikohuko utakutana nacho ukionana nae.
Mie nilijua waongo ni sisi tu, kumbe hata wanaume hamvumi ila mpo.
Utakuta mwanaume anahangaika kujikwenza kwa mwanamke kwa kujisifia jukwaani, ila ukienda nae Pm, utapasuka kwa kicheko.
Sisi wanawake tunafanya hivi kwa ajili ya kuwanasa wanaume, hasa kwa mwanaume unafanya ili iweje?
Wanaume punguzeni mbwembwe.
Msuli haufungwi kwa mkanda.
Kuweni real bhana samtaim bahati mnazipeperusha wenyewe.
Unahangaika nami Pm mwezi mzima, siku ya kuja kuonana nawe najikuta najutia bando langu wakati nachat nawe kipindi chote hiko.
Kuweni serious bhana wanaume wa humu.
Mbona kuna wengine tunapenda wanaume wasio na mvuto?
Tunawapenda wasio na magari wala nyumba wala makampuni wala wenye hizo six pack?
Mtajificha nyuma ya keyboard mpaka lini?
Ndo yaleyale, mnakutana kwenye meetings badala ya kujadili kilichowaleta, mnaanza kumjadili Juma na post zake za kujisifia wakati yuko hapo mbele yenu na hamuamini kama ndo yeye.
Nawaambia wanaume wa JF, MNAJISHUSHIA CV.
Wanaume real wapo...asa nyie endeleeni kufake huku Jukwaani afu tukiyaleta maisha yenu halisi jukwaani muanze kusema wanawake mwalimu wetu kipofu.
Povu ruksa.
Madongo rusha kwa akili maana tutaleta screenshot afu tuanze kutafuta mchawi hapa.
Si ndio maana umeambiwa humu tumejaa choka mbaya Tu...wenyewe mnasema wenye nazo wako busy hawana muda wa kushinda mitandaoniSasa hayo makampuni yenu mnayaendeshaje kama mnashinda humu?
Tunaangalia avatar kisha tunajiongezaNani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweli
Wenyewe hutujengea imagination nakutuona sie ma Beyonce. Na wao ndo hujifanya wanazo wakiwa wanatongozaNani anajisifiaga humu ni kisu? Nyie tu Na kushoboka kwenu.sijawai kuona mdada anajitapa huku eti ni mzuri tuacheni watoto wa watu kuweni wakweli
Nakupata vyema mzee baba.
Wanawake mmetudhalilisha saana, ttumefedheka saana na kusononeka nafsini.
Tunawakumbusha tu bado tupo kwenye rait track..hatuyumbishwi.
Kaza mkanda mkuu, safari bado ndefu ina milima na mabondeWanawake mmetudhalilisha saana, ttumefedheka saana na kusononeka nafsini.
Tunawakumbusha tu bado tupo kwenye rait track..hatuyumbishwi.
Kwahiyo inabidi nikija nije kimasikini masikini?
Hivi mtu anakuambia ana gari bila hata kumwuliza?
Kwani mtu anakudhalishaje?
Nakuwa na mawazo hayo maana sehemu hzo zinakuwa na watu timamu wanajua mengi na tunaweza share mambo ya msingi. Mimi naweza toa mawazo yakawa fursa pia hao wanakuwa wazoefu kuliko mimi. So kila mtu ni fursa unayo unahtaji tu watu wa ku sharpen ur idea basi.
Kwanza mimi huwa sipendi mazoea na watu tuonalingana akili, napenda kujifunza kwa walio nizidi
Oya mbona unanicheka ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oya mbona unanicheka ?
Kila mtu ni fursa kwako...bila kujali yupo vipi... Kikubwa kuheshimiana.
Sitaki kuingilia lengo la kila mtu kuwa humu JF. Ila ujue wapo
-Wanaotafuta mabwana
-Wwnaotafuta free p
-Wanaojiuza
-kufurahia
-kujifunza
Ukishajua haya hauna haja ya kulalamika. Ukiona mtu kaja pm anajisifia tofauti na uhalisia unajua huyu Free p au kinyume chake ambacho ni kujiuza.
Na ukipitia maandishi ya mtu unajua tu huyu lengo lake JF ni nini.
Asalaam.