agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Ukweli kabisaaKila mtu ni fursa kwako...bila kujali yupo vipi... Kikubwa kuheshimiana.
Sitaki kuingilia lengo la kila mtu kuwa humu JF. Ila ujue wapo
-Wanaotafuta mabwana
-Wwnaotafuta free p
-Wanaojiuza
-kufurahia
-kujifunza
Ukishajua haya hauna haja ya kulalamika. Ukiona mtu kaja pm anajisifia tofauti na uhalisia unajua huyu Free p au kinyume chake ambacho ni kujiuza.
Na ukipitia maandishi ya mtu unajua tu huyu lengo lake JF ni nini.
Asalaam.
Ila kwanini binadamu tunapenda habari zinazomkweza binadamu unayetaka kuwa naye karibu?Na wewe una duka la kubadilishia dola.
Tumedhalilika saana mtu mzima.Kaza mkanda mkuu, safari bado ndefu ina milima na mabonde
Hahaha...hawa vijana watakugeuzia gazeti linakuwa lako.Ulivyo mpata jamaa umempata fresh, sana
Tatizo humu jf watoto weengi . mtu kama ana sura mbovu au kalio au sura wewe inakuuma nini? Anakula kwako? Unamlipia bill yoyote?_ wewe Dada zako wana sura Na maumbo ya dhahabu? Mimi nadhani ni vizuri kufanya kilichokuleta humu maana dharau Na kashfa wala hazikusaidii loloteSisi wengine shule ya saikolojia ipo kichwan imetulia.
Kuelewa kile anachokizungumza mtu na kile alicholenga kukusudia hata kama amekisema kwa kukifunika.
Sasa unapolipata ilo , unasubiri kufanya Experimental study ili kupata jibu Konki konki.
Kwaufupi Mademu wenye ID maarufu humu JF ni WABOVU . sio Umbo....sio makalio..sio sura.
Ndio sababu hamjiamin kiasi kwamba. mmetupa kazi ya kuwasifia "You look.beautiful" ...wakat hustahili .
We kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saanaSisi wengine shule ya saikolojia ipo kichwan imetulia.
Kuelewa kile anachokizungumza mtu na kile alicholenga kukusudia hata kama amekisema kwa kukifunika.
Sasa unapolipata ilo , unasubiri kufanya Experimental study ili kupata jibu Konki konki.
Kwaufupi Mademu wenye ID maarufu humu JF ni WABOVU . sio Umbo....sio makalio..sio sura.
Ndio sababu hamjiamin kiasi kwamba. mmetupa kazi ya kuwasifia "You look.beautiful" ...wakat hustahili .
Kama ni mimi ningemjibu cariha duka la kubadilishia dola ninalo[emoji23][emoji23]Ila kwanini binadamu tunapenda habari zinazomkweza binadamu unayetaka kuwa naye karibu?
kwanini nauliza hivyo...mwanamme anayemdanganya mwanamke ana duka la dola wakati hana...hii inamaana amemwambia anachotaka kuskia. Angeambiwa usiku sikula mwanangu kalala njaa hata kujibu PM asingendelea.
hivyo hivyo kwa mwanamme...mwwnamke anayekudanganya anachura kumbe hana...anakuplease kisaikolojia maana ndicho unachotaka kuskia.
ukimweleza mimi ni mbaya hamu ya kuchat nawe PM inaisha.
Je, kwanini hatuoendi kuskia mapungufu ya wenzetu ili kama tunaweza kuwasaidia tuwasaidie?
Au tunaangalia faida zetu...tunaenda kufaidika nini?
Binadamu tu wabinafsi saana.
Dawa ipo, inachemka. Hakuna namna zaidi ya kuja na mbinu za kimafia tu[emoji23][emoji23]Tumedhalilika saana mtu mzima.
Hebu niambie Leo tukutane wapi nile kuku mie. Nataka nikudangie leoTunaangalia avatar kisha tunajiongeza
Kulingana akilia au elimu?Kwanza mimi huwa sipendi mazoea na watu tuonalingana akili, napenda kujifunza kwa walio nizidi
Hapo ndo utaharibu.mtu anacoment kwenye nyuzi za magari tu kumbe hata mkokoteni hajui kuendesha sembuse kumilikiKabla hujafanya maamuzi ya kukutana na MTU itabidi usome mwandiko wake vizuri.
Kulingana akilia au elimu?
Anyway,
Naliona tatizo kwako zaidi kuliko kueleza matatizo ya wengine.
Maisha ni rahisi sana, hayahitaji kuwa serious sana.
Utagombana na watu wengi km utajiona wewe ni very special.
Twahitaji kuwa watu bora, ila tusipende kuonesha kuwa sisi bora.
Oouh...harakati zako au zake?Yupo nilikutana nae humu jukwaani, ila sina unajua harakati za kimaisha za hapa na pale
Mkuu naomba ujifundishe kuongea uongo mtupu kwa wanawake, itakusaidia utawapata kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.Utawindwa mkuu...sasa wakikuta halipo sijui malalamiko utaweza kuyabeba.
I used to be like this !! wala sijawah jutia kua mkweli na muwazi na anayeongea maneno moja kwa moja bila kupepesa.We kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saana