Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Kila mtu ni fursa kwako...bila kujali yupo vipi... Kikubwa kuheshimiana.

Sitaki kuingilia lengo la kila mtu kuwa humu JF. Ila ujue wapo

-Wanaotafuta mabwana
-Wwnaotafuta free p
-Wanaojiuza
-kufurahia
-kujifunza

Ukishajua haya hauna haja ya kulalamika. Ukiona mtu kaja pm anajisifia tofauti na uhalisia unajua huyu Free p au kinyume chake ambacho ni kujiuza.

Na ukipitia maandishi ya mtu unajua tu huyu lengo lake JF ni nini.

Asalaam.
Ukweli kabisaa
 
Na wewe una duka la kubadilishia dola.
Ila kwanini binadamu tunapenda habari zinazomkweza binadamu unayetaka kuwa naye karibu?

kwanini nauliza hivyo...mwanamme anayemdanganya mwanamke ana duka la dola wakati hana...hii inamaana amemwambia anachotaka kuskia. Angeambiwa usiku sikula mwanangu kalala njaa hata kujibu PM asingendelea.

hivyo hivyo kwa mwanamme...mwwnamke anayekudanganya anachura kumbe hana...anakuplease kisaikolojia maana ndicho unachotaka kuskia.

ukimweleza mimi ni mbaya hamu ya kuchat nawe PM inaisha.

Je, kwanini hatuoendi kuskia mapungufu ya wenzetu ili kama tunaweza kuwasaidia tuwasaidie?

Au tunaangalia faida zetu...tunaenda kufaidika nini?

Binadamu tu wabinafsi saana.
 
Sisi wengine shule ya saikolojia ipo kichwan imetulia.
Kuelewa kile anachokizungumza mtu na kile alicholenga kukusudia hata kama amekisema kwa kukifunika.

Sasa unapolipata ilo , unasubiri kufanya Experimental study ili kupata jibu Konki konki.

Kwaufupi Mademu wenye ID maarufu humu JF ni WABOVU . sio Umbo....sio makalio..sio sura.

Ndio sababu hamjiamin kiasi kwamba. mmetupa kazi ya kuwasifia "You look.beautiful" ...wakat hustahili .
Tatizo humu jf watoto weengi . mtu kama ana sura mbovu au kalio au sura wewe inakuuma nini? Anakula kwako? Unamlipia bill yoyote?_ wewe Dada zako wana sura Na maumbo ya dhahabu? Mimi nadhani ni vizuri kufanya kilichokuleta humu maana dharau Na kashfa wala hazikusaidii lolote
Nachojua watu wa jf ni watu wa kawaida tu hakuna mbaya wala mzuri.kujuana na mtu huku ni uamuzi tu hakuna uspecial wowote
 
Sisi wengine shule ya saikolojia ipo kichwan imetulia.
Kuelewa kile anachokizungumza mtu na kile alicholenga kukusudia hata kama amekisema kwa kukifunika.

Sasa unapolipata ilo , unasubiri kufanya Experimental study ili kupata jibu Konki konki.

Kwaufupi Mademu wenye ID maarufu humu JF ni WABOVU . sio Umbo....sio makalio..sio sura.

Ndio sababu hamjiamin kiasi kwamba. mmetupa kazi ya kuwasifia "You look.beautiful" ...wakat hustahili .
We kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saana
 
Ila kwanini binadamu tunapenda habari zinazomkweza binadamu unayetaka kuwa naye karibu?

kwanini nauliza hivyo...mwanamme anayemdanganya mwanamke ana duka la dola wakati hana...hii inamaana amemwambia anachotaka kuskia. Angeambiwa usiku sikula mwanangu kalala njaa hata kujibu PM asingendelea.

hivyo hivyo kwa mwanamme...mwwnamke anayekudanganya anachura kumbe hana...anakuplease kisaikolojia maana ndicho unachotaka kuskia.

ukimweleza mimi ni mbaya hamu ya kuchat nawe PM inaisha.

Je, kwanini hatuoendi kuskia mapungufu ya wenzetu ili kama tunaweza kuwasaidia tuwasaidie?

Au tunaangalia faida zetu...tunaenda kufaidika nini?

Binadamu tu wabinafsi saana.
Kama ni mimi ningemjibu cariha duka la kubadilishia dola ninalo[emoji23][emoji23]
 
Kwanza mimi huwa sipendi mazoea na watu tuonalingana akili, napenda kujifunza kwa walio nizidi
Kulingana akilia au elimu?
Anyway,

Naliona tatizo kwako zaidi kuliko kueleza matatizo ya wengine.

Maisha ni rahisi sana, hayahitaji kuwa serious sana.

Utagombana na watu wengi km utajiona wewe ni very special.

Twahitaji kuwa watu bora, ila tusipende kuonesha kuwa sisi bora.
 
Duh we kweli balaa zito,yaani kila mwanaume anayekuvutia ki-CV lazima mtafutane muonane ili myajenge

Inavyoonekana unashoboka sana na mijitu yenye CV zilizoshiba eeeeeh,manake si kwa kukutana nao huko,wangekuwa na CV bomba kama walivyojinasibu inavyoonekana wote wangekupitia

Mwisho na wewe acha kuwa mshobokaji,hivyo tu
 
Napenda Kuwa na marafiki waliozidi kila kitu had dhambi mkuu, na siwezi kuzoeana na watu waongea pumba kwanza nakuwa kimya zangu.
So ndo nilivo life style langu na wala sijawahi gombana na mtu mie I'm always cool with my life. Ni vile to our society is judgemental so I don't care about what people think about me. Kwanza had tu gombane nikishakujua tabia zako nakiweka mbali. Mi marafiki zangu ni watu tunaoendana tabia na mitizamo
Kulingana akilia au elimu?
Anyway,

Naliona tatizo kwako zaidi kuliko kueleza matatizo ya wengine.

Maisha ni rahisi sana, hayahitaji kuwa serious sana.

Utagombana na watu wengi km utajiona wewe ni very special.

Twahitaji kuwa watu bora, ila tusipende kuonesha kuwa sisi bora.
 
Utawindwa mkuu...sasa wakikuta halipo sijui malalamiko utaweza kuyabeba.
Mkuu naomba ujifundishe kuongea uongo mtupu kwa wanawake, itakusaidia utawapata kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.

Usijisikie vibaya kumwambia uongo mpk unajiskia vibaya jinsi unavyomdanganya.
Yani hapo ndo anafurahi unamweleza ukweli.
 
We kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saana
I used to be like this !! wala sijawah jutia kua mkweli na muwazi na anayeongea maneno moja kwa moja bila kupepesa.

Niivi, Mtoa mada, alikua anajaribu kunyoosha kidole kwa jicho lamtu ,vyenye hajajua nini sababu ilopelekea hiz mabadiliko.

Ukweli nihuu..Humu JF asilimia kubwa ya madem Ni Wabovu ...asilimia chache sana ndo visu.

KIZURI HUWA KINAJIUZA...ILA VIBAYA NDO MPAKA VIJITANGAZE....

sasa humu mlojaa ni wazee wa matangazo tuu!!

Kuhusu watu wangu,,, Mimi nina kundi la watu waaminifu, wanaonipenda na kunielewa na wamenizuia kua The Jackal ni mtu wa aina gan, namm nawapenda kwasababu tunaelewana.

Mimi hata wee, kama ni Mzuri nitakuambia wee kisu....kama ni mbaya nitakuhitaj uache mbwembwe, maana mbwembwe zikizidi nitakuambia Wewe ni mbaya.

Uzuri nyie wadada, ndo hamnisumbui kabisa, nmeshawajulia .... Hapa naweza kukuchana ukweli wako..ila baadae nikakufanya either Rafiki au Mpenzi kabisakabisa ...tayar umeshasahau kama nilikuambia !!!.
 
Back
Top Bottom