We kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saana
I used to be like this !! wala sijawah jutia kua mkweli na muwazi na anayeongea maneno moja kwa moja bila kupepesa.
Niivi, Mtoa mada, alikua anajaribu kunyoosha kidole kwa jicho lamtu ,vyenye hajajua nini sababu ilopelekea hiz mabadiliko.
Ukweli nihuu..Humu JF asilimia kubwa ya madem Ni Wabovu ...asilimia chache sana ndo visu.
KIZURI HUWA KINAJIUZA...ILA VIBAYA NDO MPAKA VIJITANGAZE....
sasa humu mlojaa ni wazee wa matangazo tuu!!
Kuhusu watu wangu,,, Mimi nina kundi la watu waaminifu, wanaonipenda na kunielewa na wamenizuia kua The Jackal ni mtu wa aina gan, namm nawapenda kwasababu tunaelewana.
Mimi hata wee, kama ni Mzuri nitakuambia wee kisu....kama ni mbaya nitakuhitaj uache mbwembwe, maana mbwembwe zikizidi nitakuambia Wewe ni mbaya.
Uzuri nyie wadada, ndo hamnisumbui kabisa, nmeshawajulia .... Hapa naweza kukuchana ukweli wako..ila baadae nikakufanya either Rafiki au Mpenzi kabisakabisa ...tayar umeshasahau kama nilikuambia !!!.