Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Nime come.Ni bora tu Kuwa halisi na maisha yako huko kutomgoza mara namiliki bank ya Tanzania ni uzwazwa. Wewe mkaka wa arachuga njoo huku
Nime come.
Siyo Yule aliyekua anasambaza picha ya mtu kwa maboya wenzake?
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji144][emoji144][emoji144]
Vipi naona mnaita mkaka wa Arusha? Kuna fursa maana nami wa Arusha.Ooooh karibu
Picha gani tena ilisambazwa humu wanaume wa humu ni shida
Vipi naona mnaita mkaka wa Arusha? Kuna fursa maana nami wa Arusha.
Tutaacha mkuu leo leo kabisa....Makaka wa arusha acheni utapeli mnawashinda wanaume wa Dar eti. Hahaaaaa jamani leo na furaha sana
Hahaaaaa aisee mbona anatabia za kijinga hivi au ni hanisi sasa anaringishia picha za watu Ili Iweje huo sasa ni utoto usio na kifani. Sasa unywaranda nao ni deal jamani hahaaaaa jamii forum Kuna mambo walah aache utoto jamani. Na hamu nimjue mana tabia za kishoga kishoga hzoHuyo boya wa Arusha alikua anajifanya anamjua kila mtu akiotea picha yako anatambishia kwa watu anakujua
Jamaa lenyewe linajidai linyarwanda
Hahaaaaa Kuna kitu kimenifuraisha mno.Tutaacha mkuu leo leo kabisa....
Naona mmefurahi kweli kweli. Ila tunaacha utapeli. sawa!
Wapo wanyarwanda.Hahaaaaa Kuna kitu kimenifuraisha mno.
Licha ya utapeli eti huko chuga Kuna wanywaranda hahaaaaa
Wapo wanyarwanda.
Unafurahi wakaka wa chuga kuitwa matapeli...walahi ingekuwa kuna aliyewahi kuwashinda wanawake vita ya maneno leo ningeinunua.
Karibu Arusha.
Kutongoza ni kushawishi mtu akukubalie....hata kama alikuwa hana nia ya kukubalia unamshawishi tu kwa namna yoyote.Hahaaaaa kwanini mtongozo utumie nchi nyingine huo si ndo utapeli wenyewe hahaaaaa jamani machali wachuga acheni hzo, I hope Daby hauko hivo bwana mnapoteza sifa ya machali wa chuga kwa mambo ya kindezi ndezi
ππ nilijua sugu bnaaaaaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiii nisamehee Mkuu
Ehee mi nikajua unasema utakunywa MaltaππππIla asante kwa kutukumbusha..mimi mwaka wa mwisho huu kunywa pombe,,nitakua nakunywa bia tu hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sanaWe kaka unakauli chafu..... Watu wako wa karibu wanatabu saana
Miwani..hahaaaaNina sifa moja tu hapa.
Ahsante kwa kuitaja
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.