Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.

Siyo Yule aliyekua anasambaza picha ya mtu kwa maboya wenzake?
 
Makaka wa arusha acheni utapeli mnawashinda wanaume wa Dar eti. Hahaaaaa jamani leo na furaha sana
Vipi naona mnaita mkaka wa Arusha? Kuna fursa maana nami wa Arusha.
 
Makaka wa arusha acheni utapeli mnawashinda wanaume wa Dar eti. Hahaaaaa jamani leo na furaha sana
Tutaacha mkuu leo leo kabisa....

Naona mmefurahi kweli kweli. Ila tunaacha utapeli. sawa!
 
Huyo boya wa Arusha alikua anajifanya anamjua kila mtu akiotea picha yako anatambishia kwa watu anakujua

Jamaa lenyewe linajidai linyarwanda
Hahaaaaa aisee mbona anatabia za kijinga hivi au ni hanisi sasa anaringishia picha za watu Ili Iweje huo sasa ni utoto usio na kifani. Sasa unywaranda nao ni deal jamani hahaaaaa jamii forum Kuna mambo walah aache utoto jamani. Na hamu nimjue mana tabia za kishoga kishoga hzo
 
Tutaacha mkuu leo leo kabisa....

Naona mmefurahi kweli kweli. Ila tunaacha utapeli. sawa!
Hahaaaaa Kuna kitu kimenifuraisha mno.
Licha ya utapeli eti huko chuga Kuna wanywaranda hahaaaaa
 
Hahaaaaa Kuna kitu kimenifuraisha mno.
Licha ya utapeli eti huko chuga Kuna wanywaranda hahaaaaa
Wapo wanyarwanda.

Unafurahi wakaka wa chuga kuitwa matapeli...walahi ingekuwa kuna aliyewahi kuwashinda wanawake vita ya maneno leo ningeinunua.

Karibu Arusha.
 
Hahaaaaa kwanini mtongozo utumie nchi nyingine huo si ndo utapeli wenyewe hahaaaaa jamani machali wachuga acheni hzo, I hope Daby hauko hivo bwana mnapoteza sifa ya machali wa chuga kwa mambo ya kindezi ndezi

Kutongoza ni kushawishi mtu akukubalie....hata kama alikuwa hana nia ya kukubalia unamshawishi tu kwa namna yoyote.

Ndivyo nilivyo nishawadanganya dada kibao wa JF bahati mbaya sijawahi kufanikiwa huwa napigwa chini.

Angalia huu uzi. Wanawake eleweni hili; Kutongoza na kutosikilizwa kunatuumiza sana - JamiiForums

Fanya basi namna unifute machozi mie.
 
Hahahaaaa
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
 
Back
Top Bottom