Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahaaaaa hawaji na I'd zao zilizozoeleka sijui wanatuona wajinga. Mimi huzipuuzia I'd mpya. Sasa anashindwaje kujiamini au ndo huko kujishaua mambo safi. Ujue wanatuchosha sana hawa viumbe.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Afu unajua wanaume wengine hawajui kujiongeza.
I'd mpya ila uandishi uleule.
Waunganisha dot maarufu wakikubamba tu pm hakukaliki.
Eti I'd mpya imejiunga jana inakuja pm kukutongoza kisa kafuatilia post na michango kwa miaka 4.
Jamani kuna majini humu....kwanini asiseme mie fulani (thubutu)
Ila wanaume na I'd mpya ni pasua kichwa kwa kweli
 
Ambalo kwa asilimia kubwa lina ukweli. Wawache jamaani si tabia nzuri. Kama hawana hawana tu kwani siku zote maandishi huwa hayabadili kitu. 😂😂😂😂😂
Sasa ndo hawataki kukubali ukweli.
Afu wakiona tumewashtukia, wanachange gia angani.
Hahahahah.....
 
Tafuta maisha mzee,huyo utakayemuoa atakula/vaa nini ikiwa huna kitu
 
Hahajah
Ndo ile ya fulani alijisahau akaleta screenshot ya mtongozo jukwaani.
Alijua yuko Pm afu kwa I'd mpya.
Hahahhah.....dah vimeo viko vingi sana humu.
Afu mtu ambae unachat nae kila siku, hata akija Pm na kubadili I'd uandishi wake utaujua tu
 
Niliwahi kuishi maisha ya kufake kitaaaambo sana huko utotoni ila namshukuru Allah kwa sasa sina sababu ya kufanya hayo
 
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Itabidi na sisi wanaume tuanze kudanga tunapauka saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…