Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahahaha

Sasa Mkuu, tutapataje mahela ili tuepuke hizi shutuma bin lawama za humu?

Maana inabidi tuwe na gari Kali,nyumba Kali mahela ya kutosha ,ukiita totoz humu JF ,anakuja kula raha tu
Forex is not for everyone! Huo msemo tumewekewa sisi vichwa maji
 
Hahahaha

Sasa Mkuu, tutapataje mahela ili tuepuke hizi shutuma bin lawama za humu?

Maana inabidi tuwe na gari Kali,nyumba Kali mahela ya kutosha ,ukiita totoz humu JF ,anakuja kula raha tu
Kwa mtaji huu hata kubeba bunduki itabidi au tuzamie porini aka machimboni
 
Hahaaaaa uhandsome kuwapitia mbali hawawezi kukuta wale Wana otisha sura ka wanyongaji flani hivi.
Hahahaha nishakwambia mie wa Rombo unamtafuta mwingine wa nini? ?ila uhandsome kwa kweli umenipitia kushoto naishia kuuona kwa majirani tu usidanganyike weusi wapo wa kumwaga mithili ya kiwi
 
Sisi wengine shule ya saikolojia ipo kichwan imetulia.
Kuelewa kile anachokizungumza mtu na kile alicholenga kukusudia hata kama amekisema kwa kukifunika.

Sasa unapolipata ilo , unasubiri kufanya Experimental study ili kupata jibu Konki konki.

Kwaufupi Mademu wenye ID maarufu humu JF ni WABOVU . sio Umbo....sio makalio..sio sura.

Ndio sababu hamjiamin kiasi kwamba. mmetupa kazi ya kuwasifia "You look.beautiful" ...wakat hustahili .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni ukweli Mana nmekutana nao kadhaa humu, kwa kweli ngoja nizibe mdoma nisilopoke
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni ukweli Mana nmekutana nao kadhaa humu, kwa kweli ngoja nizibe mdoma nisilopoke
Acheni kujifariji na uchoko wenu eti I'd maarufu ni wabovu nyie kubalini hamna mbele wala nyuma tu kama namikiki tecno wereva yangu hapa najiamini na ubovu wangu. Hahaha huu uzi umewatoa povu wanaume pole ni pambaneni na Hali yenu
 
Back
Top Bottom