Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana aiseeeHehe ebu nifungulie na mie shoo
Nilishaandaa mashambulizi
Acha hizo kuna mmoja nmeshachat nae pm ana sifa hzo hzo kwa mbali ingawa anaficha makucha ila kwa uzi huu sina budi kumhis ni yeyeHapana aiseee
Acha hizo kuna mmoja nmeshachat nae pm ana sifa hzo hzo kwa mbali ingawa anaficha makucha ila kwa uzi huu sina budi kumhis ni yeye
Alinichekesha sana huyo Jamaa eti aliniambia will you Mary me miss?Acha hizo kuna mmoja nmeshachat nae pm ana sifa hzo hzo kwa mbali ingawa anaficha makucha ila kwa uzi huu sina budi kumhis ni yeye
Acha hizo kuna mmoja nmeshachat nae pm ana sifa hzo hzo kwa mbali ingawa anaficha makucha ila kwa uzi huu sina budi kumhis ni yeye
😂😂😂😂😂Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukamjibu nini sasa ??Alinichekesha sana huyo Jamaa eti aliniambia will you Mary me miss?
Mtu Simjui atanioaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukamjibu nini sasa ??
Mtu Simjui atanioaje?
We acha tuHahahaaaa
Mtu Simjui atanioaje?
Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.Kwa hii nimefungua kodi kirahisi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wii Madame B kama ni huyu anayemsema Hornet nishamjua [emoji1][emoji1]
Watu wa hivo hawajui kutafuna jogoo hapandi mtungi, hao ni wambeya na wapenda sifaInaonekana huyu jamaa yetu wa chuga amewatafuna sana
Ulijuaje, yaani hapa namsubiria arudi na pesa tu maana sio kwa kunisubirisha huko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji187][emoji187][emoji187]na wewe bado unamsubiria labda[emoji932][emoji932][emoji932][emoji932][emoji932]
Kabadili ID mpenzi.
Sijameet nae.Kwahiyo ulishameet nae ukauona uzuri wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.
Ila jamaa inaonekana ndo zake...maana nilikutana nae Fb akanipa namba zake na basa ya kuchunguza nikagundua ni yeye mtupu.