Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
😂😂😂😂😂
Haki miss umenishida tabia, eti account ya euro, nimechekaa!!!
 
Kwa hii nimefungua kodi kirahisi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wii Madame B kama ni huyu anayemsema Hornet nishamjua [emoji1][emoji1]
Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.
Ila jamaa inaonekana ndo zake...maana nilikutana nae Fb akanipa namba zake na basa ya kuchunguza nikagundua ni yeye mtupu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji187][emoji187][emoji187]na wewe bado unamsubiria labda[emoji932][emoji932][emoji932][emoji932][emoji932]
Ulijuaje, yaani hapa namsubiria arudi na pesa tu maana sio kwa kunisubirisha huko
 
Afi alikuwa analazimisha kiki kwa pikipiki.
Ila jamaa inaonekana ndo zake...maana nilikutana nae Fb akanipa namba zake na basa ya kuchunguza nikagundua ni yeye mtupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom