Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Nimesoma mpaka nimemaliza.

Uzi ulinoga ila kwanini sasa mumuexpose wakati mmemshobokea wenyewe jamani?
Kwani akijisikia au kujishaua mtu anateseka na nini?

Sio vizuri tuonane huku halafu tuje kuexpose Identity za wengine sio poa kabisa.
Sema rafiki yangu nae nimemuona itabidi nimuulize vizuri na yeye yalimsibu yapi kwa Demiss maana kaandika kama alitendwa hivii
 
Nani huyo anaongelewa? na kafanya nini?
 
Haya twende kazi, weka detail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…