Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Mkuu, Huwezi amini ndio huyu anaejitapa hapa analia wanaume pesa zao, kakamata wagogo wa porini huko anawafanyia ushenzi anajikuta mjanja...

Alete upuuzi wake hapa mjini kama hatotatuliwa marinda plus tumpasue kichwa kwa shaba ndio atajua mjini kuna wahuni...

Kwa kuwa amekiri huko juu hii ni chitchat nitamsitahi kwa leo, ila aache kupost upuuzi wake, anakera na mada zake za hovyohovyo...
Amekulia shilingi ngapi? Maana una hasiraaa.
 
Jamani mtu kama huwezi kuwa chit chat nenda jukwaa la siasa,international,intelligence huku achana napo,sasa mnataka haya majukwaa yaandikwe habari za k7na mbowe au magu jamen,acheni hizo heko kwa Dark angel na espy pia meeya mmenifurahisha sanaa
Demiss atabaki kuwa juuu kileleni mawinguniii chiiiiiiiiii
Lamba loloooooo
Wapuuzi hawa kujitia wanajua sana sijui kawaibia mume, kama wao wasafi uzi wa mchafu wamefuata nini?
 
Kuna mtu anajiquote mwenyewe humu[emoji23][emoji23]hatari sana[emoji23][emoji23]anatumia ID tatu ndani ya uzi huu huu mmoja[emoji57][emoji57]
Na bila shaka yeye ndie mlengwa kwenye hii thread. Anatumia uongo wake wa darasa la saba,.mara ooh naishi nje, mara nina pesa[emoji16][emoji28]kumbe likapukuu la kufa mtu!

Sasa bisha na hapa[emoji41](unajijua)
Nasema hivi....bisha na saivi nikuumbue[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Anajitekenya na kucheka mwenyewe, dume zima hovyooo.
 
Tatizo si hilo Demiss ID zenu fake zinatuchanya hata mimi nilishamkimbia mmoja alipost picha kumbe ya kudownload mi nikampa fomu ya usajili ila machale yakanicheza wakati wa apointment nibebana sehemu ananipigia naona dude tofauti kifuani mtindo wa kufa nadhani bra ina mkanda wa ngozi tumbo limekatwa pingili na linaning'inia vitako kama konzi, mwenyewe anawig kwa kuwa nilimpa mshikaji simu ampigie mi nikawa hapo namcheki mdada ana ndefu.
Inawezekana Demiss HAULIPI. Kwanini asisepe?
Grow up.
 
Nimesoma mpaka nimemaliza.

Uzi ulinoga ila kwanini sasa mumuexpose wakati mmemshobokea wenyewe jamani?
Kwani akijisikia au kujishaua mtu anateseka na nini?

Sio vizuri tuonane huku halafu tuje kuexpose Identity za wengine sio poa kabisa.
Sema rafiki yangu nae nimemuona itabidi nimuulize vizuri na yeye yalimsibu yapi kwa Demiss maana kaandika kama alitendwa hivii
Upuuzi tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Basi waambieni wenzenu hata kama anajua tako la mtu akae kimya.
Ashukuru tu kati ya wengi humu na yeye kawa mmoja kumjua mtu.
Mtu akiamua umjue amekuheshimu sasa kwanini umfanye mtu ajutie maamuzi yake ya kukupa heshima?
Hawa wapuuzi wachache ndio wanaishusha heshima ya jf, kwanini wanapojuana hawatushirikishi wakishatindiganyana hukooo ndio wajifanye kuja kudhalilishana humu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Siku ya kutaka kumjua mtu wa humu kazi anayo maana nitarekodi hadi mkojo wake siku akinizingua kazi anayo ni mwendo wa mavideo tu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawachi bwana.
 
Ila kuna kitu itakua Demiss anawafanyia hawa watu. Yani mtu kujishaua tu ndio wawe na hasira nae hivi mpaka kumtishia kumuexpose? Au anawalia hela zao mchezo hatoi itakua sasa wakiwaza hela zao na mchezo wanyimwe halafu kama wanavyosema wanakutana na mwanamke sie waliemuweka kwenye akili zao lazima hasira ikuye.
Unajiona yani mwanamke alivyokuchezea akili na hela ukampa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajinga ndio waliwao.
 
Huyu ndiyo Demiss kwa wasio mfahamu.....
12565610_916931308356866_7421180796547755825_n.jpg
Yani mzuri sio kidg. Demis tulia we mzuri sana
 
Back
Top Bottom