Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Be my guestFile lako loading...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be my guestFile lako loading...
Usifikiri kutumia ID fake humu ndani ndio hujulikani...Be my guest
Uncle ulikua unatafutwa na aunt Zesh...Huyo anakaa hombolo, karibu kisasa
Mbona unarukaruka kama maharage yanayoiva mbona nimeshakupa go aheadUsifikiri kutumia ID fake humu ndani ndio hujulikani...
Kwani imekuaje best??File lako loading...
Sio wanaume, wavulanaKwani imekuaje best??
Au ndio kikao cha wanaume wa JF mmeamua muanze kutuexpose dada zenu?
Nimefika uncleUncle ulikua unatafutwa na aunt Zesh...
Siku nyingi huonekani mitaa hiiNimefika uncle
Mambo mengi Uncle wangu....Siku nyingi huonekani mitaa hii
Hicho kikao walicho kaa wanaume wa Jf ku expose mademu wa humu jf hakinihusu..Kwani imekuaje best??
Au ndio kikao cha wanaume wa JF mmeamua muanze kutuexpose dada zenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hicho kikao walicho kaa wanaume wa Jf ku expose mademu wa humu jf hakinihusu..
Siku ya kutaka kumjua mtu wa humu kazi anayo maana nitarekodi hadi mkojo wake siku akinizingua kazi anayo ni mwendo wa mavideo tu humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Basi waambieni wenzenu hata kama anajua tako la mtu akae kimya.
Ashukuru tu kati ya wengi humu na yeye kawa mmoja kumjua mtu.
Mtu akiamua umjue amekuheshimu sasa kwanini umfanye mtu ajutie maamuzi yake ya kukupa heshima?
Ila kuna kitu itakua Demiss anawafanyia hawa watu. Yani mtu kujishaua tu ndio wawe na hasira nae hivi mpaka kumtishia kumuexpose? Au anawalia hela zao mchezo hatoi itakua sasa wakiwaza hela zao na mchezo wanyimwe halafu kama wanavyosema wanakutana na mwanamke sie waliemuweka kwenye akili zao lazima hasira ikuye.Siku ya kutaka kumjua mtu wa humu kazi anayo maana nitarekodi hadi mkojo wake siku akinizingua kazi anayo ni mwendo wa mavideo tu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye kuwalia pesa zao nakubaliana nawe maana si kwa hasira walizo nazo kwa Demiss.Ila kuna kitu itakua Demiss anawafanyia hawa watu. Yani mtu kujishaua tu ndio wawe na hasira nae hivi mpaka kumtishia kumuexpose? Au anawalia hela zao mchezo hatoi itakua sasa wakiwaza hela zao na mchezo wanyimwe halafu kama wanavyosema wanakutana na mwanamke sie waliemuweka kwenye akili zao lazima hasira ikuye.
Unajiona yani mwanamke alivyokuchezea akili na hela ukampa
Safi sana.Mbona unarukaruka kama maharage yanayoiva mbona nimeshakupa go ahead
demiss jamani pole.mama nipe.namba yako nikutumie buku mbil ya vochaBora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.