Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hii comment kuna mtu aliniandikia sio mimi 😀😀😀aise, astaafir llah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment kuna mtu aliniandikia sio mimi 😀😀😀aise, astaafir llah
najua huwezi fanya ivo hajjat; umenigaya mwenzio nashinda njaa sina wa kunipikiaHii comment kuna mtu aliniandikia sio mimi 😀😀😀
Pole mpenzi,Niko njiani nakuja kupika cha usikunajua huwezi fanya ivo hajjat; umenigaya mwenzio nashinda njaa sina wa kunipikia
ewaaaaa moyo wangu tuli sasa.Pole mpenzi,Niko njiani nakuja kupika cha usiku
Pole mpenzi,Niko njiani nakuja kupika cha usiku
usiku biriani mkuu hiyo mchana inapendezaBiriani?
Kuna mtu anajiquote mwenyewe humu[emoji23][emoji23]hatari sana[emoji23][emoji23]anatumia ID tatu ndani ya uzi huu huu mmoja[emoji57][emoji57]
Na bila shaka yeye ndie mlengwa kwenye hii thread. Anatumia uongo wake wa darasa la saba,.mara ooh naishi nje, mara nina pesa[emoji16][emoji28]kumbe likapukuu la kufa mtu!
Sasa bisha na hapa[emoji41](unajijua)
Nasema hivi....bisha na saivi nikuumbue[emoji57][emoji57][emoji57]
Tatizo si hilo Demiss ID zenu fake zinatuchanya hata mimi nilishamkimbia mmoja alipost picha kumbe ya kudownload mi nikampa fomu ya usajili ila machale yakanicheza wakati wa apointment nibebana sehemu ananipigia naona dude tofauti kifuani mtindo wa kufa nadhani bra ina mkanda wa ngozi tumbo limekatwa pingili na linaning'inia vitako kama konzi, mwenyewe anawig kwa kuwa nilimpa mshikaji simu ampigie mi nikawa hapo namcheki mdada ana ndefu.
Inawezekana Demiss HAULIPI. Kwanini asisepe?
Kama na dudu la yuyu malipo tofaut
Mbona povu la omo?Acha ujinga wewe.Alitoa mada za kuchemsha jamvi kama wengine wanavyofanya.Utapasua mishipa ya shingo bure na gubu lako.Mwanaume kuwa na kifua,unaaibisha jinsia ya "me"Hivi kwa akili yako unadhani wanaume wenye tabia hizi hawapo kweli au unajitoa akili na kujifanya hamnazo?Mjinga Sana anataka kufanya wanaume tuonekane hatufai humu, Sasa Kuna watu tunajikoki tutaleta uchafu wake na mapicha yake mpaka sehemu anapofanyia kazi.
Na kazi yake itakuwa hatiani aache ujinga, haiwezekani atuchafue kwa ujinga wake..wakati yeye anajiuza...
Mbona povu la omo?Acha ujinga wewe.Alitoa mada za kuchemsha jamvi kama wengine wanavyofanya.Utapasua mishipa ya shingo bure na gubu lako.Mwanaume kuwa na kifua,unaaibisha jinsia ya "me"Hivi kwa akili yako unadhani wanaume wenye tabia hizi hawapo kweli au unajitoa akili na kujifanya hamnazo?
Tusipotoshane hapa.
Tupe package ya nauli pamoja na dudu la yuyu ili tutume advance kabisa.
Demis nilikuwa niko radhi kuja hadi dom ila una dalili zote za kuwa cheche!
Najivua gamba
Eti wanasema huwa wanafurahia comment zangu wanifananishe na mimi
Maskini wangejua mweeee D mwenyewe kasichana kadogo tu hakana mbele wala nyumaa
Huyo alishakuona hapo Dom, akakuona sio type yake, akazuga amepata dharura, ungekua type yake, angekulamba siku iyo iyo, make najua uliinyoa kabisa.