Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Msema kweli mpenzi wa munguuu mm sijazoea kufake jaman
Ebwana eeeh kweli leo umeamua kujiachia
Ningekua na hela ningekuka Dom sema life langu lenyewe naganga ngoja niendelee kula kwa macho nisijekuanzishiwa uzi humu kama huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha nakwambia kumbe mtu yupo tandika kaamua kunikomeshaa D mm kanitia hasaraaa
We mwenyewe ukajua waenda kutana na pedezyeeee la ki Canada Dada kae. wahuni sio watu wazuri
 
Kwani wanajf waingiao dodoma lazima wajiandikishe kwenye daftari lako? Au mi ndio sijaelewa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wewe ni mtu na heshima zako hapa jamvini sidhan kama ni sahihi kuandika mada hii labda kama account yako iko hacked leo
Mk
Hahahahhahaha karma is........
Inawezekana mwenzako alipata mtu kukuzidi, halafu na nyie wanaume muwe mnaangalia watu wa kuwaita Sasa mtu Kama huyu mm hata kuwa karibu naye sitaki...na Kuna uwezekano mkubwa hakutumia hiyo pesa ila ameamua kuleta uchangudoa wake hapa.
Kuna maswali najiuliza... Unawezekanaje kutumia kwenye pikipiki nauli ya tsh 20000 kwenda kumuona mtu usiyemfahamu, wakati Kuna option ya kupanda gari au kumwambia yeye aje?
Hawa ni madanga huwa wanaishi kwa kujitegesha kwa wanaume na wakifail misheni zao wanaanza kuwachafua.

Kuna danga moja kipindi niko chuo mkoa flani lilinichafua kwamba Mimi " hanisi" kisa tu sikulipenda na Wala halinikuvutia kuligegeda na isitoshe nilikuwa sijapima nalo afya ikabidi kwa vile ilikuwa usiku na tulikuwa viwanja mbali likagoma kurudi kisa halina nauli na mfukoni mimi nilikuwa nimeshaishiwa nikaenda kwangu nikalala nae geto mpka asubuhi bila kumgegeda Kisha asubuhi nikampa nauli akaondoka
 
wanaume bana 😂😂😂
hapa akili yangu ishaahama kabisa
asee demiss SHINDWA na ulegee!!
kwa kwa nn uko rahisi ivyo we b dada
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Yani hapo utawafanya wasijifikirie mara mbili kutaka kukuona. Hapa nilipo najiuliza kwann wengi wanatak kukuona na bahati nzuri ushatoa utaratibu.
Wengi huwa wanataka kuniona hivyo kupunguza kerooo nimeamua kuwafukuza kijanja
 
Eti wanasema huwa wanafurahia comment zangu wanifananishe na mimi
Maskini wangejua mweeee D mwenyewe kasichana kadogo tu hakana mbele wala nyumaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Yani hapo utawafanya wasijifikirie mara mbili kutaka kukuona. Hapa nilipo najiuliza kwann wengi wanatak kukuona na bahati nzuri ushatoa utaratibu.
 
Hahahhahaha jaribu sasa kuingia kwenye 18 zangu uone
wanaume bana [emoji23][emoji23][emoji23]
hapa akili yangu ishaahama kabisa
asee demiss SHINDWA na ulegee!!
kwa kwa nn uko rahisi ivyo we b dada
 
Demisi shikilia hapo hapo. Turn scenario around imagine we MME . Umemtumia dem nauli na mazaga zaga kbao dem asitokee embu imagine that feeling af compare it with what you got
 
Inaumaaa sana yani acha kabisa
Demisi shikilia hapo hapo. Turn scenario around imagine we MME . Umemtumia dem nauli na mazaga zaga kbao dem asitokee embu imagine that feeling af compare it with what you got
 
Hivi ni Demiss huyu huyu ninanaemfahamu kwa kumsikia? Na alivyo na jina kwa midume na mibinti humu Jf. Hivi ni huyu huyu kwel[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]?au akaunti yake ya Jf imehakiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…