Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Sielewi yaani mafuta ndo kigezo tu au? Mbona kitu kidogo sana
Hilo atuweke wazi, pia atuambie kama ukilipia mafuta ni short time au ni mpaka asubuhi......aweke sawa hapa nione kama naweza fanya chochote huko pm kwake
 
Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Ha ha ha ha wameumbuka
 
Mafuta ya Altezza yapo njoo uchukue GHETO [emoji83]
 
Hah😄,. Mie nilikuwa napita tu
Ukiona sehemu nyengine komenti yangu yakitambo halafu ya hovyo tafadhari sana pita bila kuniita friji lako jitahidi ligandishe!, maana hiyo komenti imenishitua sana!..🤣
 
Ukiona sehemu nyengine komenti yangu yakitambo halafu ya hovyo tafadhari sana pita bila kuniita friji lako jitahidi ligandishe!, maana hiyo komenti imenishitua sana!..🤣
Haha,. Tatizo fundi wa fridge langu ana bei sana😂😂😂
 
Sawa leo usiku nitakujia ktk namna isiyoeleweka tutatue friji lako linalochemsha!, nitahitaji ustahimilivu wako tu!..😅
Walmy welcome,. Utakua umenisaidia sana aisee☺️
 
Back
Top Bottom