Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Hiyo Alteza ilipatikana kwa mtindo huo? Kwahiyo unauza? Hamia kule matangazo madogo..... 065.....mafuta Lita ngapi?
 
Hoja ya thread hii imejengwa kwa IQ ya chini sana, inaelekea mleta hoja hakujua kwamba anajidhalilisha.
 
Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Hahaha Jane anataka mafutaaa, yaani umewakilisha vyema tabia ya wadada wa kibongo, ukisalimia tu dada mambo, unasikia poa naomba vocha.
 
Wanawake wa digital ni pasua kichwa kwa kweli
 
Eti mtu wiki nzima anakutumia PM ooh Jane nakupenda. Ooh umependeza sana. Ooh you are the most beautiful girl on earth. Basi unamwambia nitumie hela ya mafuta niweke kwenye Altezza yangu nikufuate ulipo. Loooo! Longolongo zinaanza. Punguzeni uhewa nyie.
Jamani Jane Lowasa!! Sio longo longo ...Mkuu wa nchi keshasema tupunguze matumizi yasiyokua ya lazima kwa nini usipande gari za mwendo kasi kuokoa gharama???
 
Back
Top Bottom