Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
We mamkwe gani humpigii mkweo?Nambie hata [emoji337] hupigi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mamkwe gani humpigii mkweo?Nambie hata [emoji337] hupigi
Mkwe bembeleza ndoaWe mamkwe gani humpigii mkweo?
Badala we ndio unibembeleze... We ngoja nimwache mwanao kama atapata kama mieMkwe bembeleza ndoa
Hapo umeeleweka mkuu na hao ambao hawaelewi ni wale wa chama cha mwendokasi.Point ya msingi ni mtu kunitaka nimfuate kwa gharama zangu. Whether it is by Altezza or on a public transport. Jifunze kuelewa msingi wa mada. Itakusaidia sana maishani
Ha ha haaaaaaaa.Hapo umeeleweka mkuu na hao ambao hawaelewi ni wale wa chama cha mwendokasi.
Ninaamini kuwa unanipenda mtaniMtani naomba nikupende mimi[emoji85] [emoji85]
Unatafuta slopeHapo umeeleweka mkuu na hao ambao hawaelewi ni wale wa chama cha mwendokasi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] zngine znatumia vestlineKuna alteza zinatumia chips (kyepe) ungenunua hiyo wala ucnge pata tabu
Aha,umeamua kutoka huko PM?[emoji23]Jane Lowassa nakupenda!
Asanteeeee umewachanaMwanamke wa mtandaoni? Mi nafanya kazi ofisi nzuri tu hapa town. Halafu nina mradi wa salon unaniingizia hela nzuri tu. Na sijafika hata miaka 27
[emoji54][emoji54][emoji54]Mwanamke wa mtandaoni? Mi nafanya kazi ofisi nzuri tu hapa town. Halafu nina mradi wa salon unaniingizia hela nzuri tu. Na sijafika hata miaka 27
Nimwite kwani ye msichana. Mi msichana ndiyo natakiwa kuitwa. We mario nini?Kwani mpaka ukutumie hela ya mafuta ndio uonane nae? Si unaweza ukamwita tu akaja yeye
Kwa hiyo kukuona tu atoe pesa, wewe ni SINEMA?
Sielewi yaani mafuta ndo kigezo tu au? Mbona kitu kidogo sanaNilichosema ni kuwa mimi siyo mwepesi kihivyo. Lazima mtu agharamie mafuta ndiyo nijue yuko serious