Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

Point ya msingi ni mtu kunitaka nimfuate kwa gharama zangu. Whether it is by Altezza or on a public transport. Jifunze kuelewa msingi wa mada. Itakusaidia sana maishani
Ulidhani wanaume wote wako easy kuwachomoa hela namna hiyo? Ungepeleka papuchi kwanza mkikwichikwichi ndipo umwambie, "baby nimekopa pesa ya alteza yangu hivyo naiomba nikamlipe" ungeona kama angekataa. Epuka kuitwa K.I.L. AZA
 
Wanawake wa sikuizi wengi wao machangudoa,sema wanapishana namna ya uuzaji wa papuchi,kuna wanaouza kwa kujipanga,kuna wanaouza kwa tumzinga twa kishenzi kama hutu,n.k,,toka wazuie kuzianika barabaran nw dayz imekua tabu balaa,ndio ivyo imebidi wauzie kwenye mitandao kama hivi...pesa ya mafuta ingetumwa sijui kama ungekuja hapa na kusema wanaume wa sasa hivi ni mafisad wanahonga kama flan
 
I always never take JF serious,
Hii avatar yako ya kike kumbe mwenyewe ni dume,

Bila kutaja Altezza husikii raha, basi tumeshafahamu una Altezza na sio gari.

Hebu niende kwenye thread za tz ya viwanda mie
 
Ulidhani wanaume wote wako easy kuwachomoa hela namna hiyo? Ungepeleka papuchi kwanza mkikwichikwichi ndipo umwambie, "baby nimekopa pesa ya alteza yangu hivyo naiomba nikamlipe" ungeona kama angekataa. Epuka kuitwa K.I.L. AZA
kuna mwanaume atakuwa aliipenda avatar sasa kutoa hela yamafuta anamzingua
 
Mwanamke wa mtandaoni? Mi nafanya kazi ofisi nzuri tu hapa town. Halafu nina mradi wa salon unaniingizia hela nzuri tu. Na sijafika hata miaka 27
basi kwa huu u.pupu unaopakaza mitandaoni sishangae kamwe
 
Mi nina maisha mazuri tu
 
Mimi nalipia huduma niliyokwishatumia, yanini kulipia huduma ambayo bado sijatumia?.
 
Hahaha ulivyohongwa ulijua inatumia michemsho?? Uza altezza upate nauli ya mabasi ya mwendo kasi! Wanawake wa Dar bana kutwa kupiga mzinga,alafu ukimpeleka ghetto kukamua makelele meeeengiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…