Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kulea mama na mtoto sio tatizo tatizo ni huyo jamaa baba wa mtoto hataacha kupasha kiporo kwa gia ya kumjulia hali mtoto.Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.