ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Swali; Kwa nini wapate ujauzito? Hivi karne hii mtu anapata ujauzito bila kutarajia? Basi hatuna sababu za kwenda shule.Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?