Ninani alisababisha mpaka single mother ikatokea kama siyo wewe? Acheni dharauKuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda wowote.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.