Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Single maza wengne wanajitakia we unamuona mwanaume unamkulupukia tuu unazaa nae. Kama kuna dada mmoja jilan alikua na jamaa kamsomesha tang sekondar kufika chuo kabadilika kaona jamaa mwngne ana gari akamsahau wakw alomtoa mbali kazalishwa kitoto kimefika miez minne jamaa kamkimbia leo hii anachoma maandazi mkome
 
Wala hawapandikizwi chuki but hayo ni malipo kama ulimkataa mtoto yeye ataanzaje kukupenda yeye amekua na kulelewa na mama na story kaipata afu eti kupandikiza chuki unaechuma nae juani ndo unatumia nae kivulini pia mtoto akishakua nae ana maamuzi yake.
Iliminata Sina nia ya kuanza league isiyo ya Lazima my dear single Maza, naongea kwa uzoefu niliyowahi kuyaona katika Familia nyingi za single parents.

Nakiri ukweli kwamba Wapo Wababa Wazaao watoto Kisha kuwatelekeza lakini pia ni Ukweli wa Wazi Yapo Mazingira wamama huchangia Hali hiyo kutokea mathalani Baba Wa Mtoto atakujaje kumsalimu mtoto wakati katika nyumba hiyo mama wa mtoto anaishi na baba wa Kambo? Je Ujio wake hautasababisha Mgogoro usio wa lazima?

Wapo Single parents wenye tabia za kuwaongelea Vibaya wazazi wenzao jambo ambalo huzalisha chuki Kati ya Mtoto na mzazi wake huyo asemwaye Vibaya (katika Hilo "single Maza" ndio wamekuwa vinara).

Binafsi ni Single "faza" lakini sithubutu kumuongelea Vibaya Mama Yao japo najua ana madhaifu yake Mengi tu ila daima nimekuwa nikimuongelea vizuri mbele ya Watoto Zake ingawa ni dhahiri Hana time kabisa na watoto waliotoka katika tumbo lake.

Mara nyingine nampigia simu nawapa watoto wamsalimu mama Yao wakimalizana nakata simu hasikii kamwe sauti yangu.
 
Unataka nani ayaseme mapungufu yao? Kama unayajua yaseme wewe, all in all single mothers ni ugonjwa wa moyo!! Mi kwa sasa sitaki hata kuwasikia!!
siyajui na ndio maana nikauliza alafu huo ni ubaguz kama huwataki bora ujisemee ndani ya nafsi yako
na kuuliza vile simaanishi mim ni single mther
nilitaka kufaham kama kuna uwepo wawatu kama hao namapungufu yao maana nao watu wamejikita zaidi kuwajadili ma single mother
 
Iliminata Sina nia ya kuanza league isiyo ya Lazima my dear single Maza, naongea kwa uzoefu niliyowahi kuyaona katika Familia nyingi za single parents.

Nakiri ukweli kwamba Wapo Wababa Wazaao watoto Kisha kuwatelekeza lakini pia ni Ukweli wa Wazi Yapo Mazingira wamama huchangia Hali hiyo kutokea mathalani Baba Wa Mtoto atakujaje kumsalimu mtoto wakati katika nyumba hiyo mama wa mtoto anaishi na baba wa Kambo? Je Ujio wake hautasababisha Mgogoro usio wa lazima?

Wapo Single parents wenye tabia za kuwaongelea Vibaya wazazi wenzao jambo ambalo huzalisha chuki Kati ya Mtoto na mzazi wake huyo asemwaye Vibaya (katika Hilo "single Maza" ndio wamekuwa vinara).

Binafsi ni Single "faza" lakini sithubutu kumuongelea Vibaya Mama Yao japo najua ana madhaifu yake Mengi tu ila daima nimekuwa nikimuongelea vizuri mbele ya Watoto Zake ingawa ni dhahiri Hana time kabisa na watoto waliotoka katika tumbo lake.

Mara nyingine nampigia simu nawapa watoto wamsalimu mama Yao wakimalizana nakata simu hasikii kamwe sauti yangu.
Mkuu hivi vitu huendana na tabia, Mimi ni single mother, sikuficha nilieleza ukweli kwamba nina mtoto ana Baba yake huja kumuona mwanae hakuna kingine zaidi ya hilo kuwa na amani alinielewa, jamaa alikuwa anakuja akachoka mwenyewe akaacha kuja, Mimi sipo huko Niko mbali nao Ila wanaongea vizuri sina mawasiliano na Baba wa mtoto Ila wakikutana wanasalimiana na Mr. ananipa salamu, sioni tatizo ninajitambua na yeye anajitambua na Mr. wangu anatuelewa, mkuu huu upuuzi wa ati watakulana hata sijui umetoka wapi? Kama mtu hataki kuoa single mother aache sio kutoa kashfa ambazo zinakera na wengine wapo humo humo wamelelewa na kusomeshwa na mababa wa kambo ati na wao wanaafiki
 
siyajui na ndio maana nikauliza alafu huo ni ubaguz kama huwataki bora ujisemee ndani ya nafsi yako
na kuuliza vile simaanishi mim ni single mther
nilitaka kufaham kama kuna uwepo wawatu kama hao namapungufu yao maana nao watu wamejikita zaidi kuwajadili ma single mother
Ok sawa mkuu.. Unajua wengi tumekutana na hizo experiences za hao watu, niwie radhi kama nimetumia maneno makali!!
 
Mkuu hivi vitu huendana na tabia, Mimi ni single mother, sikuficha nilieleza ukweli kwamba nina mtoto ana Baba yake huja kumuona mwanae hakuna kingine zaidi ya hilo kuwa na amani alinielewa, jamaa alikuwa anakuja akachoka mwenyewe akaacha kuja, Mimi sipo huko Niko mbali nao Ila wanaongea vizuri sina mawasiliano na Baba wa mtoto Ila wakikutana wanasalimiana na Mr. ananipa salamu, sioni tatizo ninajitambua na yeye anajitambua na Mr. wangu anatuelewa, mkuu huu upuuzi wa ati watakulana hata sijui umetoka wapi? Kama mtu hataki kuoa single mother aache sio kutoa kashfa ambazo zinakera na wengine wapo humo humo wamelelewa na kusomeshwa na mababa wa kambo ati na wao wanaafiki
Your Lucky Naima
Nakupongeza Kwa kupata Mwezi mwenye Kulielewa Hilo ni wachache Miongoni mwa wanaume wengi, Wengi Hufikiri Kwamba Yakiwapo Mawasiliano Kati ya Wazazi Wawili basi lazima wakumbushie Jambo ambalo si Kweli.

Tatizo ambalo nimejifunza Kwa single mothers Baadhi ni Kuwa "Omba omba" huwatumia watoto kama gear ya Kuombea ataeleza matatizo mengi ya baba wa Mtoto ili apate sympathy kwa Mwanaume husika anayeombwa. Ataomba Ada ya mtoto, Matibabu ya mtoto na mengine mengi tu (huu ni uzoefu wangu binafsi kwa single Maza niliwahi kukutana nao).

Nadhani malalamiko Mengi ya Wadau yanawahusu single Maza wa aina hiyo.
 
Nimeowa Singlde Mother wa mtoto mmoja wa kiume.Ni mwaka wa 5 huu tupo wote.Vijana wenzangu kama inawezakana OA mwanamke ambaye hajazaa.Narudia oa ambaye hajazaa.Ikitokea ya kutokea sawa.Kila la heri kwa wote wanaotoka na ma single mothers.With time you will learn much of what people here are trying to say.
 
Mi nawapenda sana Hawa single mother coz wapo huru
wengi wao wanajua nin maana ya maisha

wanajua kujituma ktk maisha kutafuta hii yote ni kutokana na kutengwa na mwanaume aliye mzalisha na kumuacha akidhan maisha yatamshinda

Love u All Single Mother Mwaaaaaaahhhh[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Single mom badhi tabu sana akishakumbuka alivotendwa na aliemzalisha daah tabu tupu yani me sitaki tena single moms
 
Hellow JF,

Naomba kuwauliza wanaume mliopo humu JF, hivi single mothers waliwafanyia nini mlio wengi, mbona mnawaandama sana kila kukicha?

Naombeni mnijibu sababu thread zenu zinaumiza sana pia zinachosha as long as sio wote walipenda kuwa single mothers wengine iliwabidi tu, au mlitaka wafanye abortion kuepuka kuwa single mothers?
wewe ni single mother?
 
Nimeowa Singlde Mother wa mtoto mmoja wa kiume.Ni mwaka wa 5 huu tupo wote.Vijana wenzangu kama inawezakana OA mwanamke ambaye hajazaa.Narudia oa ambaye hajazaa.Ikitokea ya kutokea sawa.Kila la heri kwa wote wanaotoka na ma single mothers.With time you will learn much of what people here are trying to say.
Toa somo walau kidogo ya kile unachopitia. Naamini sio single mothers wote wenye akili za kijinga wanaopasha viporo na wazazi wenzao.

Ungetoa personal experience labda wengi wangejifunza.
 
Hili jiwe nahis lilitupwa gizani sasa limempata akalia aaaaiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom