Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?
Swali; Kwa nini wapate ujauzito? Hivi karne hii mtu anapata ujauzito bila kutarajia? Basi hatuna sababu za kwenda shule.
 
Picha ya Diamond na mama yake imenipa uchungu sana, inaonyesha jinsi gani watoto wetu tunapojitahidi kuwalea na kuwanusuru wasiwe watoto wa mitaani wakati ma punguani wakila bata wakikua huwa wanatuthamini sana na kutufariji hiyo hunifanya nifarijike na kujivunia u single mother wangu hata kama mtu mwingine ataleta dharau hanistui huishia kucheka
But ni Busara na muhimu Sana kutopandikiza chuki kwa Watoto ili wamchukie mzazi ambaye una tofauti naye ambazo wao haziwahusu.
 
Kuna watu walio wahi kuwadate single mothers wakaenda poa, ila wengi mambo hayawi mazuri, halafu baba wa mtoto anaweza piga mzigo muda wowote.
Hata wewe single mother mwenyewe sidhani kama ungependa mtoto wako wa kiume aje alee mtoto asiye wake.
Pia uki date na single mothers unafanya double work, umfurahishe mama na mwanae.
*kuna wale ambao walio zaa nao walifariki wana la kujitetea, zaidi ya hapo wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume wa kuzaa naye tu.
"baba watoto anaweza piga mzigo mda wowote"...sentensi nzito sn hiyoo...[emoji40]
 
maana yangu ni hii mkuu hawa single mothers hawajajipa mimba wenyewe so tusiwalaumu sana na kingine wadada wa jf waanzishe kampeni kuhusu single fathers kama wanaume wa jf walivyo against na singel mother umensoma Ushimen
Mkuu wazo lako ni zuri Ila hapo walipo hawajitambui, tukiongeza na kampeni tutawachamganya kabisa
 
poleni sana single mather wote najua wengi hamna furaha na pengine wengi mnapandikiza chuki za wazi kwa watoto wenu juu ya wazazi wao wa kiume....
Si kweli kwamba wanapandikiza chuki kwa wazaz wa kiume but watoto wenyewe wanaona mtoto tangu mdogo kalelewa na mama na anamuona mama tu huyo baba hamuoni hivi unatarajia nini kwa huyo baba ataemfahamu ukubwani!
 
Sababu nyingi y kuwepo n single mother chanz n mwanaume.Hakun mwanamke anayepend kulea mwana mwenyew ila ikitokea hana budi kuinuka n kusonga mbele.Wengi wetu tunakuw n hasira Kali moyon na haturuhux mtot akutan n bb zao tunajitahid kuwalea n kuwapa watoto kila wanachokihitaji.Najivunia kuwa single mother na maisha yanaenda.
 
But ni Busara na muhimu Sana kutopandikiza chuki kwa Watoto ili wamchukie mzazi ambaye una tofauti naye ambazo wao haziwahusu.
Wala hawapandikizwi chuki but hayo ni malipo kama ulimkataa mtoto yeye ataanzaje kukupenda yeye amekua na kulelewa na mama na story kaipata afu eti kupandikiza chuki unaechuma nae juani ndo unatumia nae kivulini pia mtoto akishakua nae ana maamuzi yake.
 
Sababu nyingi y kuwepo n single mother chanz n mwanaume.Hakun mwanamke anayepend kulea mwana mwenyew ila ikitokea hana budi kuinuka n kusonga mbele.Wengi wetu tunakuw n hasira Kali moyon na haturuhux mtot akutan n bb zao tunajitahid kuwalea n kuwapa watoto kila wanachokihitaji.Najivunia kuwa single mother na maisha yanaenda.
Umenena dear pia hongera saaaana
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Punguza Povu mama Nakupenda sana,,,
 
Kweli jf ni kichaka, na hapa ndipo jf inachanganya.
Maana ulicho kiandika ni tofauti na I'd yako aiseeee.....
Boniface na wewe ni Single mother,,,Mi Nakupenda sana wala usiwe na wasiwasi,, mi niiteni mfariji single mother
 
Back
Top Bottom