Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Kulea mama na mtoto sio tatizo tatizo ni huyo jamaa baba wa mtoto hataacha kupasha kiporo kwa gia ya kumjulia hali mtoto.
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Povu la Omo 100%
 
Kulea mama na mtoto sio tatizo tatizo ni huyo jamaa baba wa mtoto hataacha kupasha kiporo kwa gia ya kumjulia hali mtoto.
Sio Kweli Kabisa,

Mimi ninawasiliana na mwanamke aliyenizalia watoto wawili hatuko Pamoja kwenye mahusiano lakini halipo hata wazo Miongoni mwetu la kukumbushia even a single hug. HALIPO WAZO HILO
 
Sio Kweli Kabisa,

Mimi ninawasiliana na mwanamke aliyenizalia watoto wawili hatuko Pamoja kwenye mahusiano lakini halipo hata wazo Miongoni mwetu la kukumbushia even a single hug. HALIPO WAZO HILO
Mkuu mpo wachache sana wahivyo juzi tu hapa mshkaji kapata kazi na alikolea kwa single mum mmoja na huyo single mother kiukweli ana roho nzuri sana na anajiheshimu.

Jamaa akaanza utaratibu wa kuishi naye na alimlipia ada ya miezi 6 mtoto wa huyo mwanamke pamoja na kumweka dukani kwa jamaa awe anauza yeye, huyo mwanamke alimwambia kuwa hata namba ya Ex wake waliozaa naye hana tena wala hawawasiliani.

Maajabu baadaye jamaa alikuta message ya Ex wa bibie wanapanga kukutana lodge.

Jamaa anajilaumu sana hivi sasa.
 
Mpwa Azarel wanadamu tuna tofauti katika tabia zetu, mimi binafsi Sina wazo Hilo na Naamini hata huyo mwanamke tuliyezaa Watoto ambao ninawalea mimi naye Hana Hilo wazo, ni Binti Mrembo kiukweli.

Sikuwahi kuwaza Kuna Siku hatakuwa wangu lakini ilibidi niukubali ukweli, nawalea Watoto Simuongelei kwa mabaya mbele ya Watoto Zake nyakati karibu zote mawasiliano yetu yatahusu Watoto tu, Mara moja moja akiwa na Jambo linalohitaji msaada wangu ataniambia na nikiwa kwenye mood nzuri huwa ninamsaidia.

Maisha yanaendelea.
 
poleni sana single mather wote najua wengi hamna furaha na pengine wengi mnapandikiza chuki za wazi kwa watoto wenu juu ya wazazi wao wa kiume....
 
Anayeweza kukuhakikishia raha ya milele ni Bwana Mungu pekee na si binadamu!teh teh
 
hivi hakuna ma single dady??
na kama wapo mbona sija wahi kusikia wakisemwa kama single mother ??
kwan wao hawana mapungufu??
Unataka nani ayaseme mapungufu yao? Kama unayajua yaseme wewe, all in all single mothers ni ugonjwa wa moyo!! Mi kwa sasa sitaki hata kuwasikia!!
 
Sio Kweli Kabisa,

Mimi ninawasiliana na mwanamke aliyenizalia watoto wawili hatuko Pamoja kwenye mahusiano lakini halipo hata wazo Miongoni mwetu la kukumbushia even a single hug. HALIPO WAZO HILO
Bora useme wewe mkuu, nakupongeza sana, kuna me wanajitambua ni pamoja na wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kupasha hata kwa msichana yoyote asiyejithamini anaweza Fanya hvyoo

Mwanaume mwingine katelekeza watoto hata kumsikia tu mwanamke hutaki then kirahis rahis tu upashe kiporo!!

Sio kweli
kweli kabisaa,mtu tangu una mimba no communication wala nini halafu eti aje apashe kiporo..never happen
 
Nyie huwa mnaongeaga tu nishawa date singo mazaz na bado wanamegwa na jamaa waliowazalisha .
Sio wote pia inategemea na jinsi mahusiano yao yalivo asa mtu tangu una mimba huna communication nae hadi unajifungua maybe kaja kujileta wakati mtoto kakua man kama huyo naanzaje kumvulia tena labda uwe chizi ndo unaweza fanya ujinga huo
 
Picha ya Diamond na mama yake imenipa uchungu sana, inaonyesha jinsi gani watoto wetu tunapojitahidi kuwalea na kuwanusuru wasiwe watoto wa mitaani wakati ma punguani wakila bata wakikua huwa wanatuthamini sana na kutufariji hiyo hunifanya nifarijike na kujivunia u single mother wangu hata kama mtu mwingine ataleta dharau hanistui huishia kucheka
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…