Wanaume wa JF, single mothers waliwafanyia nini?

Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?
 

yah ni kwel kabisa tumekua tunakwepa majukumu yetu kuhusu hawa watoto kwa kias kikubwa sana na imefikia kipind wadada nao wamekua na hulka ya kusema acha nizae tu tutajua mbele kwa mbele.
lakin iwe fundisho kwa wadada kwa maana moja majorty ya single mothers wanashindwa kujitambua wajibu na majukumu yao linapofika swala la kuanza mahusiano mapya na hapo ndipo wanaume wengi wanaogopa sana na kuishia kukimbia.
 
Haha no wonder binti yako anakupenda sana, bado anakutania na[emoji482] [emoji482] zako lol?
 
Mkuu.....
Ebu fanya tafsiri basi ili nasie wa huku ushirombo tukuelewe aiseeee
 
Kwan ajabu kusema ya moyoni mpaka unaita kulalamika!?
ndio manna kila ofisi ina dawati la malamiko au suggestion boxes.... hakuna shida wangu... malalamiko yenu yamefika yanafanyiwa kazi
 
Haha no wonder binti yako anakupenda sana, bado anakutania na[emoji482] [emoji482] zako lol?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeamua kupumzika mkuu, mambo mengi na majukumu yanaongezeka pia uzee huoooo
 
Achana nao wasikuumize kichwa Bora Mimi single mother najitambua na jamii inajua hivyo kuliko wao wanalea watoto wa wanaume wenzeo bila kujua, na wamelelewa na ma Baba ambao si wao
Aisee umenikumbusha ile 61% ya mkemia mkuu.
 
Kwaiyo wewe ushauri wako kwa ma binti ni Upi Wakipata mimba watoe ili waepuke kuku over work au bora wawe single mother!?
ukitoa mimba unakuwa MAMA ULIYEFIWA NA MTOTOπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Siku zote mwanamke mtu mzima huzaa na mwanaume aliyempenda ila mambo hutuendea kombo tu na hatupendi itokee hivyo, ila Dunia ni uwanja wa mapambano na Mwanamke jasiri huendelea kupambana hata mkiwakosoa muwakosoavyo hatupi mtoto wake
iwe leo iwe kesho nikiwa single mother sitakatishwa tamaa na wanaume wenye akili hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…