Wanaume wa Jf : Toa dukuduku lako kwa wadada wa jf Wajirekebishe!

Hahahaha khaaa imebidi nicheke tu walah
 
Sasa watume PM zetu tumejiweka tayari kumwaga salary Mbunye hanaga ubahiri wa kutoa au uchumi mbaya
 
Mimi nawasaidia kwa kuanzia

"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"


Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.

Location: Star baber shop Dodoma.
Hata ww pm yako umeifunga je unapishana na magari ya mishahara?
 
wadada mnapotongozwa na watu wengi wapeni jf member kipaumbele cha kuwakubali sio mnawakubali watu wengine ambao sio member
 
Hahaha hivi kumbe jina langu baya eeh?
 
Kuna muda una imagine: wadada wa hum ni wakali kinyama, weupe flani hivi, chura kama yote, wa geti kali, maisha flani ya next level.

Kumbe bhana ni hawa hawa tunaopishana nao barabarani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…