Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
kama mzawa wa kwanza lazima uwe na sura ya baba[emoji134][emoji134][emoji134]
Hatimaye nimemaliza kusoma dukuduku za wanaume wa jf tunaopata tabu sisi wenye sura mbaya jamani wenye sura za baba zetu woiiiiii
sawa bwana si umeshasema huni admire!
Kumbe mwenzio kipindi chote kuku admire kiherehere changu tu!Hahaahhaahahaa
Miaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu tunataka Mkisha tumia ID zenye majina mzuri mwisho mmalizie na Picha zenu..ila kama mna sura mbaya Msijiweke tafadhali...halafu na wewe Demiss wafundishe wenzio kuweka Pcha nzuri kama wewe... hicho kiuno kwenye Pcha hapo ndio kinachotuleta huko PM ila ungeweka tofali uone au sura kama yule anaetuita mafurushi... Hutuji ng'o
Halafu utamu wa mwanamke asimseme mwanaume,muwe wapole Mada tunazowaponda muwe mna comment ki upole upole mambo ya wadada wengine mnatutolea mapovu kabisa sio vizuri...
Mwanamke sharti uwe mpole na mtiifu kama desh desh mnajijua na mimi nawajua.....
Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
[emoji134][emoji134][emoji134]
Hatimaye nimemaliza kusoma dukuduku za wanaume wa jf tunaopata tabu sisi wenye sura mbaya jamani wenye sura za baba zetu woiiiiii
Zamani ipi hiyo mkuu?Zamani walikuwa wanakuita nani eti mkuu
Ile id ingine banaZamani ipi hiyo mkuu?
Mbona mimi sina nyingine!!Ile id ingine bana
MmmhhhMbona mimi sina nyingine!!
Maandishi yako yanaonesha ulivyo na busara, hahiitaji miaka kukujua.Mmmhhh
Mbona kunilove gafla
Sawa mkuu..Maandishi yako yanaonesha ulivyo na busara, hahiitaji miaka kukujua.
Asante mamiiSawa mkuu..
Karibu sana jf
Kuna kitu umelenga, maana si kwa location hizi.Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe.
Location: Star baber shop Dodoma.
Naona umeamua kuchomoa betri harudii tenaMiaka inazidi kusonga, sijafanya chochote cha maana, nipe ushauri wa kunijenga!
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya miaka 16 kuitafta. Nimewaza na kuwazua mambo mengi ila kwa sasa nimeona ni busara kuja kuomba kwenu...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio asilimia kubwa sema wadada wa Jf uliokutana nao wewe.
Mbona mi najua warembo wa huku sema sikutajii maana wengine rafiki zangu niliwashawishi mimi kujiunga na wengine wawili mekutana nao huku.