Wanaume wa Jf walivyo!...

Nafikiri Suala Sio Sura Nzuri Suala in Pesa ndo Maana Babu Aspirin anapendwa sana na Wabebez,Though in Babu,kuna Wadada Wanapenda Mwanaune Mwenye Sura kama yule jamaa wa Kipindi cha Maimartha wa Jesse....OK Ben Kinyaiya....Hapo Roho yake Kwaku....wengine sisi Tumeweka Picha zetu BT no Body Knows sababu wamekariri vichwani mwao sura waitakayo....na Leo naibadilisha!
 
Monaco happy valentine to you
 
Mimi ninasura ngumu yaani ngumu wala sijifichagi ndo maana nikaweka dawa za vichaa kwenye avatar yangu yaani ukiniona kunivumilia lzm uwe kama kichaa aliyekunywa dawa ya uchaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…