Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mwenyewe sitaki.basi hunifai, ngoja nikomae na mzigua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe sitaki.basi hunifai, ngoja nikomae na mzigua
HahahahaaaMama sabrina huyu, pata naye wasaa kidogo
Huna akili wewe [emoji23][emoji23][emoji23]basi utapata zawadi.. nitakupiga hata brush ya ulimi huko
Nafikiri Suala Sio Sura Nzuri Suala in Pesa ndo Maana Babu Aspirin anapendwa sana na Wabebez,Though in Babu,kuna Wadada Wanapenda Mwanaune Mwenye Sura kama yule jamaa wa Kipindi cha Maimartha wa Jesse....OK Ben Kinyaiya....Hapo Roho yake Kwaku....wengine sisi Tumeweka Picha zetu BT no Body Knows sababu wamekariri vichwani mwao sura waitakayo....na Leo naibadilisha!Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
Mmmh umemfananishaNomeona kama Demiss kapigwa ban
Sitaki kusheahuyu ni ndugu yangu. mimi na yeye tunashea
Wasaa upi ahhaahHahahahaaa
Monaco happy valentine to youNafikiri Suala Sio Sura Nzuri Suala in Pesa ndo Maana Babu Aspirin anapendwa sana na Wabebez,Though in Babu,kuna Wadada Wanapenda Mwanaune Mwenye Sura kama yule jamaa wa Kipindi cha Maimartha wa Jesse....OK Ben Kinyaiya....Hapo Roho yake Kwaku....wengine sisi Tumeweka Picha zetu BT no Body Knows sababu wamekariri vichwani mwao sura waitakayo....na Leo naibadilisha!
Cheka tu, lkn anahitaji.Hahahahaaa
Anafurahisha genge tu.Cheka tu, lkn anahitaji.
Labda kaandika hayo kama furahisha genge.
Nimefikiria mara mbili mbili, ivi Mama Sabrina yeye ni wa namna gani mbona anatuponda sana kiasi kwamba tukimuona tunaweza kuchanganyikiwa kwa Shock.Amejificha tu nyuma ya keyboard wa kawaida sana
Sasa mzigua atanipa?Cheka tu, lkn anahitaji.
Labda kaandika hayo kama furahisha genge.
Muulize mshipa tuna siri tunafanyaNimefikiria mara mbili mbili, ivi Mama Sabrina yeye ni wa namna gani mbona anatuponda sana kiasi kwamba tukimuona tunaweza kuchanganyikiwa kwa Shock.
Mama Sabrina ebu toa ufafanuzi ju yako ili tuweze kukubaliana na jinsi unavyotuponda.
Unataka nini?Sasa mzigua atanipa?
Subir tu huko mahakaman sjui utajitetea na nnKesi!! Twende mahakamani unisomee mashitaka hayo
AsanteeeeHahaha basi ugua pole
Nitakutag nikirudnasubiri kusikia kitakachojiri huko- kama vile nakuona maji yakimwagika